Nasikia ile project ya Clouds Media imebuma; pole sana Ruge

Nasikia ile project ya Clouds Media imebuma; pole sana Ruge

Pemba empire

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
467
Reaction score
1,339
Pole sana Ruge,,ile Degree yako ya marketing uliyosoma USA haikusaidii sana Mkuu..

Hili kwa sasa linalokutokea puani kijana wewe wa miaka 49 nadhani hukusoma alama za nyakati na bahati mbaya kijana wako anayeiongoza XXL hakushauri vizuri anadhani TZ ya 2000 ndiyo ya leo 2018.. Poleni sana.

B12 hana cha kupoteza kuwa Makini Ruge hicho kiburi mnachojifanya mnataka kutupangia nyimbo za kusikiliza za wasanii wenu. Jirudini kama haijawa jioni. Ruge umemtumia kijana Aslay kuwashusha magwiji..show ikabuma, Umwinyi wako ni suala la muda tu..Karma inakuja kwako..wat and see, ITAKUTAFUNA TU.

Nasikia unawapiga biti wasanii wasifanye jingo na wasafi fm nayo inabuma..Ruge ni mfano wa tabia za kitanzania...zilizojaa fitina,wivu,majungu na husuda .eti tumemtoa wenyewe..sawa kwani vipi.. Opportunities wewe..

Uliwaonea sana wakina jide, sugu, ngwair..but now unabuma.

Nakumbuka ule mwaka Kanumba anakwenda big brother km guest list..Kanumba aliongea broken english .. nakumbuka jinsi kituo chako cha redio mlivotumia wiki nzima kumponda kwanini ameongea broken..Tanzania siyo English Native speaker kwahiyo hatuwezi kuwa fluent km Nchi zinaongea english 24/7. Najua sababu ya kumponda Kanumba vile kwakuwa hakutaka kwa chini yenu yaani baada ya kuushika mziki mkawa mnakuja na kwenye Movies..

Msiba wa Kanumba mlivyokuwa wanafiki mkawa km mmefiwa..the same to Ngwair,,mara ngap alikuwa analalamika ngoma hamzipigi kisa eti anazitoa kwa P. Mlimuwekea bifu Majani na wasanii walikuwa wanatoa ngoma kwa P hamzipigi. Youtube channels zinafanya poa..sihitaji tena kusikiliza redio kusikia nyimbo.

Clouds Karma inakuja kwenu..ni suala la Muda tu.

Ruge ona hii ndani ya 24 hours 800k viewers:




huyo demu wa wasafi tv hatari sana

 
Kumbe mpira ni tproject ya clouds!??mbona kina kitenge nao wanacheza au wameungana?
 
Back
Top Bottom