Hakuna tatizo ila nimeshangaa bado hana mke mpaka umri huo wa kustahafu.
Ahaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna tatizo ila nimeshangaa bado hana mke mpaka umri huo wa kustahafu.
Haa haa haa hata co 50 n 70% iko clouds50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
Rekebisha iwe hivi,50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
well said mkuuClouds kuzama, HAPANA!
Wasafi TV ku-take over nafasi ya Clouds TV inawezekana kabisa kwa sababu Clouds TV hamna kitu.
Wasafi FM kuchukua nafasi ya Clouds FM ni ngumu sana... kufikia hizo ndoto kutachukua angalau miaka 3! Clouds FM wapo well established!
Clouds Kumshusha Diamond Platnumz.... na yenyewe ni ngumu sana kama ambavyo niliwahi kuandika huko nyuma kwamba "Hivi Unamshushaje Diamond?"
Diamond Platnumz atashushwa na muda sawa na wasanii wengine wote duniani lakini sio kushushwa na Clouds!
Naweza kusema with confidence kwamba, Diamond anaongoza Afrika Mashariki kama sio Afrika katika kuweza kutumia vizuri mitandao ya kijamii!! Na si kwamba anaongoza kwa kundi la wasanii pekee bali hata kwa umma mzima wa Afrika.
Kadri siku zinavyoenda, ndivyo member wa dunia halisi wanavyozidi kuhamia kwenye dunia mtandao... yaani watu wanahama kutoka kwenye Real World to a Cyber World!
Hii ni Winning Card/Karata ya Ushindi kwa mtu aliyeamua kuwekeza nguvu kwenye Cyber World ili kuwafikia mashabiki wake!
Ni juzi tu hapa Diamond alifikisha Subscriber 1 M kwenye Youtube Channel lakini hivi sasa ameshafikisha Subscribers 1.2M.
Youtube ni mtandao mgumu sana kupata Followers/Subscribers lakini jamaa ni kama anawaokota tu!!! Anawazidi hata akina Davido wanaotoka kwenye nchi yenye population takribani mara 3 ya population ya Tanzania!
Anawazidi hata akina AKA wanaotoka kwenye nchi zilizo vizuri zaidi kiuchumi na hivyo kuweka assumption wao wangekuwa ndo wenye uwezo zaidi wa kutembelea Youtube!!
Sasa unamdondashaje mtu wa aina hiyo?!
Pekee wanachoweza kufanya ni kumtilia fitina kwenye endorsements... kwamba, kv mtu kama Kusaga ni mfanyabiashara mkubwa, assumption ni kwamba atakuwa anafahamiana vizuri na Decision Makers wa kampuni mbalimbali!
Kupitia kufahamiana huko, ndipo labda anaweza kufanya figisu figisu za kumbania business deals!
Lakini kumdondosha kimuziki... inabidi wajipange!!
Umeandika vizuri sana..big upClouds kuzama, HAPANA!

Zote ni idea za HARUSI wangezindua kwa muda tofauti kwa sasa watu hawataelewa
Wimbo wa harmo ni sampling ya kimasomaso ya Issa matona kwenye mashairi
Huo ndo ukweli japo miye sio msikilizaji wa redioresearch umefanya wapi hiyo
Unajua jiwe la mwezi linatokana na msanii ambaye video yake imefikisha viewers 1,000,000 ndiyo maana na support yote wanayompa country boy hawakuwahi mchukua jiwe la mwezi na wimbo wake wa turn up coz ilikuwa na viewers wachacheKituo chake hamna mtu anaehangaika nacho tena, anatuwekea jiwe la mwezi Amber lulu huo si upunguani. Kulazimisha vitu ambavyo watu hawavielew hawafiki mbali. Huyu jamaa ni MNAFIKI sana. Yeye anataka miaka yote wasanii wamlambe lambe miguu tu sasa kiboko yake imefika.. NYOOO
Ukituliza kichwa jaribu kujiuliza...ipi ilikuwa ya kwanza kurekodiwa? then utajijibu mwenyewe...Concept ya Huu wimbo haina tofauti na wa Harmonise ft mjomba
Label moja idea moja nyimbo mbili kukosa ubunifu
Unless diamond anashindana na harmo
Geopoll walifanya tafti mkuuresearch umefanya wapi hiyo
Ugenius wke ni upi km ni genius basi hao wasanii wke wa THT tungekuwa tunawaona wanapishana angani na kwnda kwny mituzo ya Bet na mtv
wewe utakuwa nwanaume wa dar, huku vijijini wengine hii clouds hawajawahi hata kuisikia!50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
Dah huyu naye ameandika namna hii ndo maana nchi yetu kuendelea ni mpaka 2140ruge hana ubavu wa kulipa mtu mshahara yeye mwenyewe anasubiri salary mwisho wa mwezi kutoka kwa kusagas. amefanikiwa kudanganya raia kwa muda mrefu kwamba yeye ni mtu wa pekee sana ngoja tuone kama ataendelea kuaminisha hivyo ila clouds jahazi ni kama linazama, clouds ya sasa sio ile ilitupangia nani mkali na yupi sio mkali clouds ya kustaafisha wasanii muziki is no more