Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Uko na chuki mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni yakoWe unafkr wasafi tv + redio ni ya nan!????
mda utaongea,50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
hahaha ....wabongo hawataki hilo "" wanataka kulazimisha watu kuendelea kufanya biashara na mtu ambaye wanaona kuwa hawana maslahi nae ...hatari sana hii""...Ruge analipa mishahara,inshort anafanya biashara,wewe unakuja na ushabiki wako wa Wcb..kama youtube wasanii wanafanya poa hakuna haja ya kulalamika sasa..unajua watu sijui wanafikiria kwa kutumia akili gani!!...sio lazima clouds kucheza nyimbo zako kwani ile ni taasisi ya mtu binafsi..
Haha hahhaa hawa Jamaa bhana "" huwa wanawapata "" wajinga wajinga wenzao ...wana Dhabi kuongoza kampuni nikama vile kumto....hamisa """ Ngojea tuone sie "" waombe Mungu wasifilisike "" wakishindwa kuendesha hzo kampuni watatafuta pakuficha sura zao kama afanyavyo mbuni""... sidhani kama palikuwa na haja yakuweka vitambo kama hivi hii ni mbaya sana "" ya weza wasababishia anguko lao mapema maana hata kama mtu wanae mtaja hakuwa na dhamira ya uadui ana weza akaanza kujipanga sasa kishari nakufanya kweli huo uwadui "" ili aendlee kubaki kwenye mazingira salama ..mungu aepushilie mbali "",..Wasafi wajanja sana
Wana timu kubwa sana ya kutafuta viewers. Yaani nyimbo ikitoka, ndo mnaanza kutukana wakubwa na kujifafanya mmekua.
Kama mmekua, endesheni muziki kimya kimya sio kupitia migongo ya watu
Aliyekwambia kuwa genius huwa hacopy nani mkuu...usiwe unapnda kuongea vitu kama hivi mbele za watu aisee""....Huyo sio genius ni copy cat anakopi huko kwingine anapeleka tz nyie mwamuita genius??
Loserni yako
Huu ni ukweli ulio mchungu mana ipo hivyo50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
hii pumba tupu. Unajua clouds inasikika mikoa mingapi in full? Bora hata useme radio free.50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
Ruge naye hawezi kumshusha kikaragosiRuge hawezi kushushwa na kikaragosi yeyote.. The guy is genius
umemaliza Mkuu..Over..Ruge hana ubavu tenaCMG ilikuwa kwenye dominant position, Ruge akaanza kuimissuse hiyo position. Kinachotokea sasa ni kitu cha kawaida sana tu muda umebadilika, na mambo yamebadilika CMG hawana tena hiyo dominant position mitandao ya kijamii imemaliza nguvu ya Ruge. Kwa sasa ni ngumu sana kwa Ruge kuamua wa kumshusha na kumpandisha kwa kutumia redio kwa kuwa hana tena huo ushawishi kwani kundi kubwa la vijana sasa linafuatilia muziki kupitia mtandaoni na siyo redioni
Mtandale ndio genius yani katoa nyimbo anataka watu wote tujadili hiyo nyimboRuge kwenye hii tasnia ni very genius br we tuliaa tuliii
Kwa mujibu wa mange au sio? sawa mtaalam wa biashara.
CMG ilikuwa kwenye dominant position, Ruge akaanza kuimissuse hiyo position. Kinachotokea sasa ni kitu cha kawaida sana tu muda umebadilika, na mambo yamebadilika CMG hawana tena hiyo dominant position mitandao ya kijamii imemaliza nguvu ya Ruge. Kwa sasa ni ngumu sana kwa Ruge kuamua wa kumshusha na kumpandisha kwa kutumia redio kwa kuwa hana tena huo ushawishi kwani kundi kubwa la vijana sasa linafuatilia muziki kupitia mtandaoni na siyo redioni