Nasikia ile project ya Clouds Media imebuma; pole sana Ruge

Nasikia ile project ya Clouds Media imebuma; pole sana Ruge

Ruge na yule mwenzake Kusaga wameaabika kwa hira na mbinu zao chafu kutaka kuwaangusha na kuwadhoofisha wasanii kaa mond, jide, sugu, profesa nk
 
Ruge analipa mishahara,inshort anafanya biashara,wewe unakuja na ushabiki wako wa Wcb..kama youtube wasanii wanafanya poa hakuna haja ya kulalamika sasa..unajua watu sijui wanafikiria kwa kutumia akili gani!!...sio lazima clouds kucheza nyimbo zako kwani ile ni taasisi ya mtu binafsi..
hahaha ....wabongo hawataki hilo "" wanataka kulazimisha watu kuendelea kufanya biashara na mtu ambaye wanaona kuwa hawana maslahi nae ...hatari sana hii""...
 
Wasafi wajanja sana
Wana timu kubwa sana ya kutafuta viewers. Yaani nyimbo ikitoka, ndo mnaanza kutukana wakubwa na kujifafanya mmekua.
Kama mmekua, endesheni muziki kimya kimya sio kupitia migongo ya watu
Haha hahhaa hawa Jamaa bhana "" huwa wanawapata "" wajinga wajinga wenzao ...wana Dhabi kuongoza kampuni nikama vile kumto....hamisa """ Ngojea tuone sie "" waombe Mungu wasifilisike "" wakishindwa kuendesha hzo kampuni watatafuta pakuficha sura zao kama afanyavyo mbuni""... sidhani kama palikuwa na haja yakuweka vitambo kama hivi hii ni mbaya sana "" ya weza wasababishia anguko lao mapema maana hata kama mtu wanae mtaja hakuwa na dhamira ya uadui ana weza akaanza kujipanga sasa kishari nakufanya kweli huo uwadui "" ili aendlee kubaki kwenye mazingira salama ..mungu aepushilie mbali "",..
 
kwangu sioni u genius wowote wa huyu ruge kwa kweli zaidi ya kuona kuwa anatumia maarifa ya kile alichosomea watanzania tuna tabia mbovu sana ya kum glorified mtu as if mungu wakati ana uwezo wa kawaida hta wew ukiamua kufanya unaweza pili huyo diamond naye aache uswahili wa kuwa maarufu
 
CMG ilikuwa kwenye dominant position, Ruge akaanza kuimissuse hiyo position. Kinachotokea sasa ni kitu cha kawaida sana tu muda umebadilika, na mambo yamebadilika CMG hawana tena hiyo dominant position mitandao ya kijamii imemaliza nguvu ya Ruge. Kwa sasa ni ngumu sana kwa Ruge kuamua wa kumshusha na kumpandisha kwa kutumia redio kwa kuwa hana tena huo ushawishi kwani kundi kubwa la vijana sasa linafuatilia muziki kupitia mtandaoni na siyo redioni
 
umemaliza Mkuu..Over..Ruge hana ubavu tena
 
Nadhani Ruge ana akili sana na anajitahidi kutumia akili zake kuacha alama chanya kwa watu wengi tofauti na wewe ambae ubavu wako umeishia kwenye keyboard ni vema ukapambana uishi angalau robo ya maisha yake vinginevyo utaendelea na wimbo wa vyuma vimekaza.
 
Kwa mujibu wa mange au sio? sawa mtaalam wa biashara.

Watu wazima hawawezi kuandika jambo kwa kunukuuu udakuu
Ila elewa hivyo kama ilivyo diamond karanga hata wasafi tv yeye Nassib Ana Hisa tu sio majority

chige brand ni kitu cha ajabu na ndio maana ninmuhimu kuilinda mfano Azam kama brand wakiharibu product moja inaweza angusha nyingine na ndio maana kampuni zinakuwa na multiple brand

Matukio hasa yaliotokana na clouds radio na hata tv kuonyesha wazi mrengo wao kisiasa yamewapunguzia kwa kiasi kikubwa wapenzi , pia matukio ya ugomvi wao na MAKONDA na vitu sina hiyo
Radio kama times na Efm zimefaidika na kupata watu ambao wameamua kutotazamaa au kumsikiliza clouds
Hapo ndio maaana strategy ya kuja na wasafi ikaibuka na kubuni hizi drama
 
CMG ilikuwa kwenye dominant position, Ruge akaanza kuimissuse hiyo position. Kinachotokea sasa ni kitu cha kawaida sana tu muda umebadilika, na mambo yamebadilika CMG hawana tena hiyo dominant position mitandao ya kijamii imemaliza nguvu ya Ruge. Kwa sasa ni ngumu sana kwa Ruge kuamua wa kumshusha na kumpandisha kwa kutumia redio kwa kuwa hana tena huo ushawishi kwani kundi kubwa la vijana sasa linafuatilia muziki kupitia mtandaoni na siyo redioni

Another good reason x safiii
 
Back
Top Bottom