Nasikia ile project ya Clouds Media imebuma; pole sana Ruge

Nasikia ile project ya Clouds Media imebuma; pole sana Ruge

50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
Labda kama unazungumzua huko kwenu daresalama. Sie wa mikoani hizo wala hatuna mzuka nazo
 
ah ah hamna hata haja kiongozi ukienda website ya
wazi. asafi
aliyeitengeneza na kusimamia ni SETUPLIMITED
Home
ambao nao ni affiliated au makampuni yaliyochini ya kampuni mama
Home - Clouds Media Group ambapo ndani yake sijui wasafi redio,video,chibu perfume all that
so all in all
joseph kusaga na ruge mutahaba ni tanzania music industry GURUS .....wameshapita hii stage sijui ya kudondoshwa wapo level za kumiliki kama owners wa universal music group,columbia records ama universal music groups.....DIAMOND PLATNUMS is RICH as RICK ROSS BUT RUGE AND KUSAGA ARE WEALTHY MAZAFACKERS WHO Own MUSIC LABEL INDUSTRY LIKE TIDAL-JAY Z OR REVOLT-DIDDY......JIULIZE KWANINI MPAKA SASA WASAFI RADIO NA TV hazina website..maana mule lazima owner wawekwe wazi
View attachment 793665
"JIULIZE KWANINI MPAKA SASA WASAFI RADIO NA TV hazina website..maana mule lazima owner wawekwe wazi". Weakest point, kwa hiyo owner wa kampuni unaweza kumjua kupitia website, huu ujinga hivi unajua tigo na Zantel zote zina milikiwa na Milcom(Source Mwananchi) na mule kwenye website zao sijaona. Sehemu pekee Tanzania ambayo itakuenyesha mmiliki wa kampuni husika ni BRELA wao ndio wahusika wakusajili makampuni yote Tanzania. Mange kawaharibu watu, sasa huyo kusaga awe mmiliki wa wasafi ajifiche ili iweje, mengi anamiliki vyombo sita vya habari na tunamjua na redio na TV easy, hivi unamjua abdalah majura (jamaa ana redio yake) ni ww tu hela yako ukienda TCRA, unamegewa frequency na fee haizidi $25,000
 
ukienda Saluni kunyoa Clouds, kwenye madalala clouds , mitaani clouds , gym Clouds.......juzi nilikuwa Mwanza maeneo mengi wanasikiliza clouds, Arusha vilevile......Dodoma vilevile.....yaani tuwe wapole tu..
 
ukienda Saluni kunyoa Clouds, kwenye madalala clouds , mitaani clouds , gym Clouds.......juzi nilikuwa Mwanza maeneo mengi wanasikiliza clouds, Arusha vilevile......Dodoma vilevile.....yaani tuwe wapole tu..
Labda huko kwenu madaladala karibia 80% mida ya asubuhi (sijajua mchana) EFM, nenda ktk mjumuiko wowote wa wanaume,vijiweni, masokoni redio inayosikilizwa ni EFM(Asubuhi maulid, maestro wanakipindi cha uchambuzi wa mpira)
 
Mbona hamchoki kuiongelea kama haifanyi poa? Yaani kila media ikitaka kutoka hadi iweke chuki na mawingu??
 
Jinga kabisa kwahiyo connection zote nilizokuwekea kati ya wasafi .com na clouds media group umeona brella tu nso ishu jifunze kufuata trail..au ka vipi mkikaa vijiweni muwe mnabana vizuri boss wenu Diamond ps mbona swala la zantel na tigo jwpesi sana kua majoruty share holder ni makampuni tanzu ya manjiQUOTE="joseph1989, post: 27373216, member: 224824"]"JIULIZE KWANINI MPAKA SASA WASAFI RADIO NA TV hazina website..maana mule lazima owner wawekwe wazi". Weakest point, kwa hiyo owner wa kampuni unaweza kumjua kupitia website, huu ujinga hivi unajua tigo na Zantel zote zina milikiwa na Milcom(Source Mwananchi) na mule kwenye website zao sijaona. Sehemu pekee Tanzania ambayo itakuenyesha mmiliki wa kampuni husika ni BRELA wao ndio wahusika wakusajili makampuni yote Tanzania. Mange kawaharibu watu, sasa huyo kusaga awe mmiliki wa wasafi ajifiche ili iweje, mengi anamiliki vyombo sita vya habari na tunamjua na redio na TV easy, hivi unamjua abdalah majura (jamaa ana redio yake) ni ww tu hela yako ukienda TCRA, unamegewa frequency na fee haizidi $25,000[/QUOTE]
 
Jinga kabisa kwahiyo connection zote nilizokuwekea kati ya wasafi .com na clouds media group umeona brella tu nso ishu jifunze kufuata trail..au ka vipi mkikaa vijiweni muwe mnabana vizuri boss wenu Diamond ps mbona swala la zantel na tigo jwpesi sana kua majoruty share holder ni makampuni tanzu ya manjiQUOTE="joseph1989, post: 27373216, member: 224824"]"JIULIZE KWANINI MPAKA SASA WASAFI RADIO NA TV hazina website..maana mule lazima owner wawekwe wazi". Weakest point, kwa hiyo owner wa kampuni unaweza kumjua kupitia website, huu ujinga hivi unajua tigo na Zantel zote zina milikiwa na Milcom(Source Mwananchi) na mule kwenye website zao sijaona. Sehemu pekee Tanzania ambayo itakuenyesha mmiliki wa kampuni husika ni BRELA wao ndio wahusika wakusajili makampuni yote Tanzania. Mange kawaharibu watu, sasa huyo kusaga awe mmiliki wa wasafi ajifiche ili iweje, mengi anamiliki vyombo sita vya habari na tunamjua na redio na TV easy, hivi unamjua abdalah majura (jamaa ana redio yake) ni ww tu hela yako ukienda TCRA, unamegewa frequency na fee haizidi $25,000
[/QUOTE]
Kisheria ndio wanaotambulika BRELA, labda wewe ndio unaleta stori za vijiweni au huwajui BRELA au ndio [HASHTAG]#DaMange[/HASHTAG] kasema. Alafu ww ndio MJINGA, unashindwa hata ku-reply
 
Mwanaume ukiwa na tabia za kishambenga hata haipendezi...acha umbea!
 
Mbona hamchoki kuiongelea kama haifanyi poa? Yaani kila media ikitaka kutoka hadi iweke chuki na mawingu??
Alafu akija mwingine pia watamshindanisha na Clouds tena,kila siku wanambadilishia mpinzani tu
 
Back
Top Bottom