Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Labda kama unazungumzua huko kwenu daresalama. Sie wa mikoani hizo wala hatuna mzuka nazo50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama unazungumzua huko kwenu daresalama. Sie wa mikoani hizo wala hatuna mzuka nazo50% ya watanzania wote wanasikiliza clouds
50%iliyobaki wanagawana Akina majizo na vijiredio vyote
ah ah tatizo weye kwenye food chain ya WCB upo chini sana ..we majani kuna swala,simba af juu ndo kuna ruge...kabla hujakurupuka fuatilia hiyo reserch ndogo basiporojo
mi niko Tukuyu mbeya nasikiliza CHAI FM...hiyo Clouds sijui hata ni mdudu ganiLabda kama unazungumzua huko kwenu daresalama. Sie wa mikoani hizo wala hatuna mzuka nazo
Mapembelo laki si pesa!mi niko Tukuyu mbeya nasikiliza CHAI FM...hiyo Clouds sijui hata ni mdudu gani
"JIULIZE KWANINI MPAKA SASA WASAFI RADIO NA TV hazina website..maana mule lazima owner wawekwe wazi". Weakest point, kwa hiyo owner wa kampuni unaweza kumjua kupitia website, huu ujinga hivi unajua tigo na Zantel zote zina milikiwa na Milcom(Source Mwananchi) na mule kwenye website zao sijaona. Sehemu pekee Tanzania ambayo itakuenyesha mmiliki wa kampuni husika ni BRELA wao ndio wahusika wakusajili makampuni yote Tanzania. Mange kawaharibu watu, sasa huyo kusaga awe mmiliki wa wasafi ajifiche ili iweje, mengi anamiliki vyombo sita vya habari na tunamjua na redio na TV easy, hivi unamjua abdalah majura (jamaa ana redio yake) ni ww tu hela yako ukienda TCRA, unamegewa frequency na fee haizidi $25,000ah ah hamna hata haja kiongozi ukienda website ya
wazi. asafi
aliyeitengeneza na kusimamia ni SETUPLIMITED
Home
ambao nao ni affiliated au makampuni yaliyochini ya kampuni mama
Home - Clouds Media Group ambapo ndani yake sijui wasafi redio,video,chibu perfume all that
so all in all
joseph kusaga na ruge mutahaba ni tanzania music industry GURUS .....wameshapita hii stage sijui ya kudondoshwa wapo level za kumiliki kama owners wa universal music group,columbia records ama universal music groups.....DIAMOND PLATNUMS is RICH as RICK ROSS BUT RUGE AND KUSAGA ARE WEALTHY MAZAFACKERS WHO Own MUSIC LABEL INDUSTRY LIKE TIDAL-JAY Z OR REVOLT-DIDDY......JIULIZE KWANINI MPAKA SASA WASAFI RADIO NA TV hazina website..maana mule lazima owner wawekwe wazi
View attachment 793665
Labda huko kwenu madaladala karibia 80% mida ya asubuhi (sijajua mchana) EFM, nenda ktk mjumuiko wowote wa wanaume,vijiweni, masokoni redio inayosikilizwa ni EFM(Asubuhi maulid, maestro wanakipindi cha uchambuzi wa mpira)ukienda Saluni kunyoa Clouds, kwenye madalala clouds , mitaani clouds , gym Clouds.......juzi nilikuwa Mwanza maeneo mengi wanasikiliza clouds, Arusha vilevile......Dodoma vilevile.....yaani tuwe wapole tu..
Hajui kuwa eatv ndo namba moja??Channel 5 mbona bado ipo kwenye chati, haina mpinzani
Kuna jamaa ana kipindi asubuhi..yule jamaa ni mbongo??nasikiliza classic Fm.. clouds nasikiliza sports xtra.
[/QUOTE]Jinga kabisa kwahiyo connection zote nilizokuwekea kati ya wasafi .com na clouds media group umeona brella tu nso ishu jifunze kufuata trail..au ka vipi mkikaa vijiweni muwe mnabana vizuri boss wenu Diamond ps mbona swala la zantel na tigo jwpesi sana kua majoruty share holder ni makampuni tanzu ya manjiQUOTE="joseph1989, post: 27373216, member: 224824"]"JIULIZE KWANINI MPAKA SASA WASAFI RADIO NA TV hazina website..maana mule lazima owner wawekwe wazi". Weakest point, kwa hiyo owner wa kampuni unaweza kumjua kupitia website, huu ujinga hivi unajua tigo na Zantel zote zina milikiwa na Milcom(Source Mwananchi) na mule kwenye website zao sijaona. Sehemu pekee Tanzania ambayo itakuenyesha mmiliki wa kampuni husika ni BRELA wao ndio wahusika wakusajili makampuni yote Tanzania. Mange kawaharibu watu, sasa huyo kusaga awe mmiliki wa wasafi ajifiche ili iweje, mengi anamiliki vyombo sita vya habari na tunamjua na redio na TV easy, hivi unamjua abdalah majura (jamaa ana redio yake) ni ww tu hela yako ukienda TCRA, unamegewa frequency na fee haizidi $25,000
Alafu akija mwingine pia watamshindanisha na Clouds tena,kila siku wanambadilishia mpinzani tuMbona hamchoki kuiongelea kama haifanyi poa? Yaani kila media ikitaka kutoka hadi iweke chuki na mawingu??
bibie clouds FM ipo almost tz kote halafu contents zake zimebase kwa vijana yawezekena haupo kwenye hili kundiLabda kama unazungumzua huko kwenu daresalama. Sie wa mikoani hizo wala hatuna mzuka nazo
Ni kweli sipo kwenye hilo kundi mkuu.bibie clouds FM ipo almost tz kote halafu contents zake zimebase kwa vijana yawezekena haupo kwenye hili kundi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni radio ya watumi niko Tukuyu mbeya nasikiliza CHAI FM...hiyo Clouds sijui hata ni mdudu gani