nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Jamaa upuuzi kweli huu uzi wa tatu nadhani dhidi ya ManaraHuu sasa ni wivu wa kike!! Target yako ni kufungua threads ngapi dhidi ya Manara kwa wiki?!
Anatia huruma sana!Jamaa upuuzi kweli huu uzi wa tatu nadhani dhidi ya Manara
ach kuzisomaHuu sasa ni wivu wa kike!! Target yako ni kufungua threads ngapi dhidi ya Manara kwa wiki?! Now assume ndo kweli ametimuliwa; je wewe kama Mwana-Makorokoro utanufaika na nini? Na kama aliweza kuwakera Yanga wakati sio Balozi wa Azam wala Asas, atashindwa nini kuwakera Makorokoro wakati akiwa sio balozi wa kampuni yoyote ile let alone Azam?
umekula shemeji?Maskini unateseka hadi huruma. Maisha ya mtu binafsi yanakuumiza hivyo daah
bado kumi leo TBT lazima zifike 13 hadi AANZE KUHESJIMU WATU na kuanza kuheshimu taaluma ya PRJamaa upuuzi kweli huu uzi wa tatu nadhani dhidi ya Manara
ila mama J aliwakilisha vizuri yale matambara yenu unajua kwenye part 2 ndiyo waliyatumia kujifutia ma sperms ?Wewe tena[emoji15]!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]...we mtu kwa sasa una stress kuliko MAMA J [emoji24]
Mimi natamani tu aonyeshe picha ya geti la vyuo anavyodai alisoma hayo ya oksjeni ni yeye ALIYEFURAHIAGA WACHEZAJI WA YANGA KUPATA AJALI ndiye anayetamani vifo vya wenzakeMnapata tabu na Manara yaani kwa jinsi mlivyo hata hii oksijeni kama mngeweza mnatamani hasivute.
Sasa ndo akuzidi stress kisa Manara..ebo!!!ila mama J aliwakilisha vizuri yale matambara yenu unajua kwenye part 2 ndiyo waliyatumia kujifutia ma sperms ?
soma kwanza waraka wa TOPOLO LENZAKO linaitwa Kivuyo Hemed Kivuyo atoa waraka mzito kumpinga Manara:atoa onyo Yanga SCSasa ndo akuzidi stress kisa Manara..ebo!!!
Yaani wanahaha hawajui kwamba tunajitahidi kumrekebisha yule mwehu aanza ku behave kama binadamu wa kawaida sasa wao wana block dose isimfikie mgonjwaUzuri mleta mada umepiga mbwa na mfuga mbwa mwenyewe wanahangaika kukujibu vibaya humu
Awe amesoma hajasoma pamoja na mapungufu yake ila Manara mnamkumbuka na ndio maana kila siku mnamuombea njaa ila jamaa ana kismart chake.Mimi natamani tu aonyeshe picha ya geti la vyuo anavyodai alisoma hayo ya oksjeni ni yeye ALIYEFURAHIAGA WACHEZAJI WA YANGA KUPATA AJALI ndiye anayetamani vifo vya wenzake
Niko na kazi ya ngumu sana ya kujaribu kulirekebisha Lopolopo ku behave kama mtu mwenye akili timamu ingawa ni kazi ngumu sana ,maana kabla hata sindano haijamfikia misukule ishaanza kujaribu kuzuia dozi..soma kwanza waraka mujarabu huuAwe amesoma hajasoma pamoja na mapungufu yake ila Manara mnamkumbuka na ndio maana kila siku mnamuombea njaa ila jamaa ana kismart chake.
Azam na Bakheresa hawato mfukuza Manara na Bakheresa hana uswahili kama wa Mudy wakutupa vijembe na kujibizana na watu kwenye social media.
Mtu kama mmeamua kumpiga chini achaneni naye kwani mkimzungumzia inaonesha bado mnamwitaji.