Nasikia katimuliwa ubalozi Azam

Nasikia katimuliwa ubalozi Azam

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Ndugu zangu ya kweli haya? Kwamba Azam Media wameona ni ujinga kutumia taasisi yao ku facilitate vita binafsi? kama ni kweli basi hongereni sana azam tv

Abakize tu Asas ili akiwa anapost bidhaa zao atumie platform hiyo kutukana bidhaa za MO maana ndiyo style yake utasikia nipo na boss wa Asas ni tajiri kwelikweli huwa havuagi shati na siyo mbahili
 
Huu sasa ni wivu wa kike!! Target yako ni kufungua threads ngapi dhidi ya Manara kwa wiki?! Now assume ndo kweli ametimuliwa; je wewe kama Mwana-Makorokoro utanufaika na nini? Na kama aliweza kuwakera Yanga wakati sio Balozi wa Azam wala Asas, atashindwa nini kuwakera Makorokoro wakati akiwa sio balozi wa kampuni yoyote ile let alone Azam?
 
ach kuzisoma
 
Mnapata tabu na Manara yaani kwa jinsi mlivyo hata hii oksijeni kama mngeweza mnatamani hasivute.

Azam na Bakheresa hawato mfukuza Manara na Bakheresa hana uswahili kama wa Mudy wakutupa vijembe na kujibizana na watu kwenye social media.
 
Mimi natamani tu aonyeshe picha ya geti la vyuo anavyodai alisoma hayo ya oksjeni ni yeye ALIYEFURAHIAGA WACHEZAJI WA YANGA KUPATA AJALI ndiye anayetamani vifo vya wenzake
 
Awe amesoma hajasoma pamoja na mapungufu yake ila Manara mnamkumbuka na ndio maana kila siku mnamuombea njaa ila jamaa ana kismart chake.

Azam na Bakheresa hawato mfukuza Manara na Bakheresa hana uswahili kama wa Mudy wakutupa vijembe na kujibizana na watu kwenye social media.

Mtu kama mmeamua kumpiga chini achaneni naye kwani mkimzungumzia inaonesha bado mnamwitaji.
 
Niko na kazi ya ngumu sana ya kujaribu kulirekebisha Lopolopo ku behave kama mtu mwenye akili timamu ingawa ni kazi ngumu sana ,maana kabla hata sindano haijamfikia misukule ishaanza kujaribu kuzuia dozi..soma kwanza waraka mujarabu huu

Back
Top Bottom