Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Uko sahihi kabisaWanasemaga ukiona mtu anakufuatilia jua anakukubali.
Kiufupi huyu jamaa anamkubali sana Manara sema tu mpaka sasa haamini kilichotokea bado na ndio sababu anaweweseko baya. π€£
Kama vipi aje kwa Wananchi.
#Sisitunawatu.
Tulia kama unanyolewa lazima niwe mzalendo kwa nchi yangu nina jukumu zito sanaUko sahihi kabisa
Wanasemaga ukiona mtu anakufuatilia jua anakukubali.
Kiufupi huyu jamaa anamkubali sana Manara sema tu mpaka sasa haamini kilichotokea bado na ndio sababu anaweweseko baya.
Kama vipi aje kwa Wananchi.
#Sisitunawatu.
wewe usijali nimekuweka kiporo sana hadi kwenye black diary nimekuweka, siku yako yaja wal usiwe na haraka ngoja nimalize hili jukumu zito kabisa.Anatia huruma sana. Najiuliza leo ataanzisha nyuzi ngapi kuhusu manara. Manara kaacha majeruhi wengi sana kule simba
wewe usijali nimekuweka kiporo sana hadi kwenye black diary nimekuweka, siku yako yaja wal usiwe na haraka ngoja nimalize hili jukumu zito kabisa
Utafurahia show nakuahidi
maliziaaa yote matusi uliyonayo ambush nitakayokupa kama haukuwa mwezini siku hiyo zitakutoka za kutosha hata lavy pad haitsaidia, nimemaliza ngoja niweke sawa documents kabla ya kuendelea na kazi ya kizalendo kabisaShosti ushapata zako kimoja cha asubuhi basiii full kuvaa kijora ka upepo kaingie vizuri kwa mooootoooooo
maliziaaa yote matusi uliyonayo ambush nitakayokupa kama haukuwa mwezini siku hiyo zitakutoka za kutosha hata lavy pad haitsaidia, nimemaliza ngoja niweke sawa documents kama ya kuendelea na kazi ya kizalendo kabisa
usijichekeshe, malizia matusi yako ya mwishomwisho ambayo kwa leo nayapuuza na kesho nitayapuuza na mtondogooo tukana weeee ila.....πππππππJF bana
ππππππam waiting
Ule usemi wao "UKIACHWA ACHIKA" hawautaki tena. Kutwa midomoni.Awe amesoma hajasoma pamoja na mapungufu yake ila Manara mnamkumbuka na ndio maana kila siku mnamuombea njaa ila jamaa ana kismart chake.
Azam na Bakheresa hawato mfukuza Manara na Bakheresa hana uswahili kama wa Mudy wakutupa vijembe na kujibizana na watu kwenye social media.
Mtu kama mmeamua kumpiga chini achaneni naye kwani mkimzungumzia inaonesha bado mnamwitaji.
Achana nalo Hilo Tahir ulozi ndy Kaz yake anajulikanaWe ni mmoja wa wajinga jeifu, Acha kufuatilia maisha ya mtu.....akiatolewa ubalozi azam wewe inakusaidia nn? Acha ujinga
Tumia akili japo kidogo!! Vitasa anavyotoa Manara vinaambatana na Yanga SC! Sasa taasisi ya Bakhresa inatumika vp kwenye the so-called revenge wakati matangazo ya Azam yanakuwa free from any Mwamedi related issues?!Mzee Bakhressa hataki ujinga wa taasisi yake kutumika kwa ajili ya revenge ya mtu binafsi, atumie platform ya gsm na asas
Fanya mambo mengine unapoteza time kumpigia mbuzi gitaa mkuuTumia akili japo kidogo!! Vitasa anavyotoa Manara vinaambatana na Yanga SC! Sasa taasisi ya Bakhresa inatumika vp kwenye the so-called revenge wakati matangazo ya Azam yanakuwa free from any Mwamedi related issues?!