Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Uko sahihi kabisaWanasemaga ukiona mtu anakufuatilia jua anakukubali.
Kiufupi huyu jamaa anamkubali sana Manara sema tu mpaka sasa haamini kilichotokea bado na ndio sababu anaweweseko baya. š¤£
Kama vipi aje kwa Wananchi.
#Sisitunawatu.