Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
Wakuu Kuna dada ana mji wake na gesti maeneo ya karibu na mizani ya pale njia ya tegeta,
Ananiambia kuanzia pale mbuyuni upande wa kulia yanapopaki maroli kwenye eneo la Rupia,na nyumba zote za upande hule kwendea Hadi kule upande wa chini karibu na hilipo mizani ya TANROAD, Kuna nyumba zisizopungua Mia na zaidi,
Nasikia wanafanyiwa Valuation hili walipwe Kuna mradi wa Mwendokasi wanataka stendi ya mwendokasi iwe pale,
Hivi Kuna ukweli au Kuna kigogo tu serikalini anapataka pale?! Maana lile eneo kiujumla limekaa vizuri mno kabisa, panafaa kujenga mradi wowote mkubwa, Sasa isiwe Kuna kigogo tu anapataka anataka kuwahamisha wananchi asiwape fedha ya kueleweka