Tetesi: Nasikia kuna nyumba zinatakiwa kuvunjwa maeneo ya Mbuyuni Tegeta ili kupisha stendi ya Mwendokasi

Tetesi: Nasikia kuna nyumba zinatakiwa kuvunjwa maeneo ya Mbuyuni Tegeta ili kupisha stendi ya Mwendokasi

Dawasco wanajenga stendi ya mabus ya kaskazini nakumbuka, mkuu mi nipo Tandale huku ambapo hapafai kwa mradi wowote labda wakutokomeza panyalodi
Yaani umeunganisha vitu vitatu, nimerudia x3 kusoma bado nimeshindwa kukuelewa!.
 
Sio kila kitu lazima huelewe, vingine Ni lugha ya Code
Mh, unajua writing code wewe?.

Labda kama una hulka za ubishi but hujaandika code yoyote pale, unachotakiwa ni kuandika kwa utaratibu ueleweke.
 
Mh, unajua writing code wewe?.

Labda kama una hulka za ubishi but hujaandika code yoyote pale, unachotakiwa ni kuandika kwa utaratibu ueleweke.
Dogo unatakiwa ujue Kuna muda unaandika kitu humu JF ukiwa unafanya kazi fulani,au labda ukiwa unakula, kwahiyo usitegemee mtu ataandika kila kitu kwa mpangilio mzuri humu ,

Maisha yamekuwa taiti mixer matozo kwahiyo kichwa muda wote Ina heat, we kama ukiweza kuandika Jambo kwa mpangilio just Ni vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom