Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani umeunganisha vitu vitatu, nimerudia x3 kusoma bado nimeshindwa kukuelewa!.Dawasco wanajenga stendi ya mabus ya kaskazini nakumbuka, mkuu mi nipo Tandale huku ambapo hapafai kwa mradi wowote labda wakutokomeza panyalodi
Mh, unajua writing code wewe?.Sio kila kitu lazima huelewe, vingine Ni lugha ya Code
Dawasa inajengwa Stendi ya mwendokasiDawasco wanajenga stendi ya mabus ya kaskazini nakumbuka, mkuu mi nipo Tandale huku ambapo hapafai kwa mradi wowote labda wakutokomeza panyalodi
Dogo unatakiwa ujue Kuna muda unaandika kitu humu JF ukiwa unafanya kazi fulani,au labda ukiwa unakula, kwahiyo usitegemee mtu ataandika kila kitu kwa mpangilio mzuri humu ,Mh, unajua writing code wewe?.
Labda kama una hulka za ubishi but hujaandika code yoyote pale, unachotakiwa ni kuandika kwa utaratibu ueleweke.