lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Naomba kufahamu kuwa ni kweli kuna sabuni ya maji ya kuogea? Kama ipo je unaitumiaje kuogea?
Unajipaka, unajimiminia au unachanganya ndani ya maji? Kama unatumia Bomba la mvua la kuogea inakuaje?
Sijui lolote juu ya sabuni hii naomba kujuzwa.
Fikra: Kama ipo ni bora sana kwa familia yenye watu wengi hasa katika janga hili la Corona na magonjwa mengine ya ngozi.
Sent using Jamii Forums mobile app