Nasikia kuna sabuni ya kuogea ya maji; naomba kujua inatumikaje?

Nasikia kuna sabuni ya kuogea ya maji; naomba kujua inatumikaje?

Kuna moja aliniletea manzi mmoja mzambia, aisee ukioga bafuni km kumepuliziwa marashi, ilikuwa nikiogea tu sabuni ile nakuwa km nimejipulizia marashi, na harufu yake ilikuwa nzuri mnoo.
 
Mie uwa natumia shower gel tu nyumbani kwangu maana sabuni za kawaida zinaambukiza fangasi haswa kwa watoto kama wanashare na dada wa kazi

Matumizi yake imeshaelezwa huko juu ila pia naona kama ni nafuu kuliko sabuni za kushika sijui niziitaje. Natumia DOVE Goat Milk ukimaliza kuoga bafuni kote kunanukia utadhani kwenye ndege
Hii comment imekaa kibaguzi sana, kwa hiyo mkuu watoto wako wanaogea shower gel tofauti na sabuni anayoogea dada wa kazi, then anakaa na watoto wako the whole day. Usikute ndo huyo huyo anawaogesha watoto wako, Then???? CYCLE CONTINUES
 
Sijamaanisha hivyo. Shower gel mnaweza kushea wengi tofauti na kipande. Mnasemea ubaguzi mie sio mbaguzi ila mtu mzima na mtoto kushare sabuni ni big no. Nimetoa mfano house girl ila anaweza kuwa mtu mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukulia mtoto wako ana miaka mitatu dada wa kazi ambae umemtoa bush anatumia sabuni yake kuogea. Risk ya kumwambukiza mtoto fungus ni kubwa. Sijui umenielewa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata wewe ukitumia sabuni ya kuogea na mwanao kuna uwezekano wa kumpa fangasi. Umeongea kiubaguzi sana, ingawa ninasupport kila mtu kutumia sabuni yake.

Sidhani kama kijijini ndio mazalia ya fangasi na sielewi kwanini umewaza hivyo.
 
Mie uwa natumia shower gel tu nyumbani kwangu maana sabuni za kawaida zinaambukiza fangasi haswa kwa watoto kama wanashare na dada wa kazi

Matumizi yake imeshaelezwa huko juu ila pia naona kama ni nafuu kuliko sabuni za kushika sijui niziitaje. Natumia DOVE Goat Milk ukimaliza kuoga bafuni kote kunanukia utadhani kwenye ndege
Hata watoto wako wanaweza wakamwambukiza fangasi dada wa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hutaki niwe soft kama yule msanii wa marekani ambaye kifo chake kilikuhuzunisha sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohh please
Nip is a whole complete MAN in a another level
See this MAN .,What is soft about him?
60C49686-0C3E-4F33-A0EA-D856C2D1E16E.jpeg

MAN UP BOY!
 
Unajimwagia maji mwili mzima kisha unachukua sabuni mkononi kiasi unajipaka kidogo tu lakini inakolea mwili mzima.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ohh please
Nip is a whole complete MAN in a another level
See this MAN .,What is soft about him?
mimi ni handsome boy ila najiongeza pia kwa natural scrubs,mafuta mazuri na shower gels.si unaona utofauti kwenye picha hapo.plus navaa hereni .mnyamwezi hapo kapatia na mzuzu huo.style yake kali.kwenye maisha jifunze kujiongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom