lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Nazidi kujifunza kitu kupitia mrembo huyu.. I swear unakitu Cha kipekee kabisa ningetamani ningekuwa karibu yako so I could get some sort of mentorship on this throughout my life..Nadhani unamaanisha shower gel,
namna ya kuitumia ni vile utakavyopenda wewe kuendana na mazingira ya bafu lako
kama una tub/sink la kuogea utajaza maji utaweka showergel na kufikicha ili upate povu...utaingia uoge kadri utakavyo ukimaliza utajisuza na maji masafi
kama una shower utalowanisha sponge ya kuogea na kufikicha upate povu then unaoga na mwisho unajisuuza na maji safi
kama una ndoo hivyo hivyo ama waweza iweka kwenye ndoo ukaoga ukasuuza ama ukaiacha pia
binafsi siwezi ogea sabuni ya kipande kabisaa ni shower gel tuu
😂😂😂😂
Awww thank youuuNazidi kujifunza kitu kupitia mrembo huyu.. I swear unakitu Cha kipekee kabisa ningetamani ningekuwa karibu yako so I could get some sort of mentorship on this throughout my life..
kwenye Biblia takatifu Kuna habari ya mwanamke aitwae Abigael ana sifa Kama zako.
Well raised...
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko powaa sanaaNtajaribu hii kitu...Thanks
Mkatoliki imeandikwa usiseme uongo.umeeleza vizuri lakini uongo wako ni jinsi ulivyojishusha,wewe sio wa hivyo bana.Sisi wa Kwamtogole tusio na tub/sink la kuogea, unachukua face towel, dodoki au sponge ya kuonwa. Unaiweka maji kidogo, unaweka sabuni ya maji unafikicha Iris povu ambalo unatumia kujisafishia mwili mzima.
Sisi tunaokwenda bafuni na ndoo zetu za maji tena unayachota kutoka kwa mwenyekiti wa mtaa.
Asante MkuuUnaoga kama walivyoandika huko juu,
zipo ambazo ukitumia huna haja ya manukato unabaki unanukia vizuuri kabisa
Unaelewa nini ukiona neno Shower?! Shower ni bomba la mvua, gel ndio ile sabuni (iko in gel form) hence shower gel. Hio ndio inafaa hasa kwenye bomba la mvua.Kama unatumia Bomba la mvua unawezaje kutumia Shower gel ??
Unafungua maji ya shower kwanza ulowane mwiliKama unatumia Bomba la mvua unawezaje kutumia Shower gel ??
Vipi inafanya ngozi iwe soft?kuna mambo ukiyajua unajiuliza kimoyo moyo "nilikuaga wapi mimi"
tumia shower gel hutokaa urudi kwenye vipande milele nakwambia
vipi lakini inakufanya unakuwa soft sio?Nadhani unamaanisha shower gel,