Nasikia kuna sabuni ya kuogea ya maji; naomba kujua inatumikaje?

Sisi waafrika ni wabaguzi sana. Eti dada wa kazi. Mtu anakulelea wanao na kukusaidia kazi kwa hivyo vijihela kidogo unavyompa bado unamuona takataka. Eti fangasi. Dada wa kazi mchukulie kama mwanao.
 

Sijaelewa hapo kwenye kushare na dada wa kazi una maana gani? Kwamba wadada wa kazi ndo huwa wana fangasi?
 
Mvua naijua ila bomba lake nijuze kidogo
 
Hahhaa umenikumbusha kuna siku nilikua na fungus za sehem za siri (groin fungus) nikasema YES detol hua nasikia ni kiboko yao so nikanunua chupa moja nikaingia bafuni wakati wa kuoga nikawa namiminia mkononi then najipaka ikiwa conc.

Bila kuchanganya na maji. Siku ya pili kuja kucheki korodani zimekauka na zile sacks zimekua ngumu kama alluminium foil.... aisee nililia kama mtoto nikajua ndio kwisha habari yangu ila baada ya muda zikalainika tena.
 
Ngoja nijaribu siku moja, ngozi yangu iko selective sana kwenye hizi kemikali za sabuni ikikutana na vitu isivyopenda nawashwa kama nimemeza chloroquine.
Sema hizo gel mnavyosema zina Manukato mazuri mmenivutia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…