Nasikia kuna sabuni ya kuogea ya maji; naomba kujua inatumikaje?

Bei gan inauzwa iyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aina gani ni nzuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeenda dukani ungejua zaidi,hizi vitu siwezi kukwambia n nzuri ipi

maana ngozi yanguu na yako zipo tofauti kabisa,halafu kuna swala la harufu

naweza kukwambia hii nzuri halafu harufu yae ikakuchefua huko bafuni

hapa muhimu angalia wewe ngozi yako aina ipi na unahitaji aina ipi usije

nunua tu kisa watu wanasema nzuri,utakuja ogea kitu ikukatae ujutie maisha.
 
kwani zina recommendation ya aina ya ngozi ya mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nilikuwa nasumbuliwa na mba kichwani ila toka nimeanza kutumia hizi sabuni ya maji umeisha na ngozi imekuwa soft hadi nafurahia
Naona kuna biashara unaitangaza hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…