Nasikia Majizo anamuoa Lulu...

Nasikia Majizo anamuoa Lulu...

alinin
Punguza chuki!we mtoto wa kiume bwana!

Mbona hamisa alishamuacha majizzo na akakubali matokeo!ila yule ni mzazi mwenziwe!

Punguza chuki kaka angu!na msamehe kama alikukosea pia!
alininyima K wakati tupo form 2 teh teh teh wala simchukii asee
 
alinin

alininyima K wakati tupo form 2 teh teh teh wala simchukii asee
Msamehe bure kwa kweli sio riziki yako!

We have to be positive mtoto wa watu amemove on sasa hivi!

Yani hata siku moja kumsifia japo sio lazima pia...ila punguza basi we mwanaume bwana!
 
hii combination siielewi ,Majizo rafiki yake Makonda hapo hapo Makonda mlezi wa WCB na hapo hapo Diamond na Majizo wote wamezaa na Mobeto
 
Mmh acha kulitaja bure jina la bwana Mungu wako ...afu dar tuna mkuu wa mkoa sasa wew shoboka
 
Hii habari tulikuwa nayo tangu mwaka jana mwezi wa nne.
Ndoa ya Lulu, Dj Majizo Yanukia

kisha ikafuata hii.
17266037_1847024472227709_8567429392865689600_n-jpg.480450


Comedy haikuishia hapo, wanaudaku nao wakaja na yao.

sportsedited.jpg
 
So sorry kwa mdogo wangu Lulu na anaweza hata kuwa mwanangu.. Hii ndoa inaweza kuingia mushkeli siku ama dakika za mwisho labda tu kama siku za uharibifu ziwe zimekwisha
Lamli chonganishi hii

Waache waoane tu
 
hii ndo sababu ya lulu kutomaliza kifungo chake!!
na mimi ningekuwa mkubwa ningefanya mpango dada yangu atoke segerea!!
 
Majizo kutoka kuitwa muuza madawa mpaka best friends na DAB!
 
Hilo ni mungu kwa maana ya kashetani kadogo..! Mungu ya ukweli inaanza na herufi kubwa.
Na tofauti ya kimatamko ni ipi?? Yaana mfano naraka nimuambie mtu asiyejua kusoma palipoandikwa mungu na Mungu.
 
Back
Top Bottom