Nasikia Majizo anamuoa Lulu...

Nasikia Majizo anamuoa Lulu...

hilo jina la Mungu kwanini mnalitumia hovyo hovyo
mungu si Mungu, kuna tofauti.
Mungu ni mmoja bali miungu ni wengi, mungu jua, mungu tembo, mungu Makonda nk
 
Amethibitisha mungu wa Dar,Makonda....sijiui ni kweli au anatania?😀😀😀View attachment 789984


Lulu ni mwanamke mzuri anayestahili mwanamme ili atulizane. Kale katoto kalipitia kipindi kigumu sana maishani mwake, kulawitiwa na Kanumba toka yuko na miaka 9 na pilikapilika za hajabu zisizo na maana. Anahitaji kupumzika na mtu ampendaye ili aenjoy maisha.
 
So sorry kwa mdogo wangu Lulu na anaweza hata kuwa mwanangu.. Hii ndoa inaweza kuingia mushkeli siku ama dakika za mwisho labda tu kama siku za uharibifu ziwe zimekwisha
Kwakua aliyetoa angakizo ni wee mshana ramli.haidanganyi haaaaa najua ulimaanisha imengiliwa na mwana mfalme
 
Soon utaskia Hamisa anajirudisha kwa MaJizo....kale kabinti kana uswahili swahili flani hivi...
Punguza chuki!we mtoto wa kiume bwana!

Mbona hamisa alishamuacha majizzo na akakubali matokeo!ila yule ni mzazi mwenziwe!

Punguza chuki kaka angu!na msamehe kama alikukosea pia!
 
Mkuu wa mkoa nae SHILAWADU, halafu msiseme ni mwanaume wa Dar, huyu ni wa Kolomije.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanaume wa kolomije waliohamia dar (WAKODA)
 
Back
Top Bottom