Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
mungu si Mungu, kuna tofauti.hilo jina la Mungu kwanini mnalitumia hovyo hovyo
Mungu ni mmoja bali miungu ni wengi, mungu jua, mungu tembo, mungu Makonda nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mungu si Mungu, kuna tofauti.hilo jina la Mungu kwanini mnalitumia hovyo hovyo
Daddy ni mwenyekiti wa kamatiDaddy atakuwepo....?
Soon utaskia Hamisa anajirudisha kwa MaJizo....kale kabinti kana uswahili swahili flani hivi...All the best kwa lulu... akawe na ndoa yenye baraka tele na huku career ikiendelea kukua na kukua.....
Mbona WARNING madame? [emoji724] [emoji724] [emoji725] [emoji725] [emoji732]Be careful lulu
Kwakua aliyetoa angakizo ni wee mshana ramli.haidanganyi haaaaa najua ulimaanisha imengiliwa na mwana mfalmeSo sorry kwa mdogo wangu Lulu na anaweza hata kuwa mwanangu.. Hii ndoa inaweza kuingia mushkeli siku ama dakika za mwisho labda tu kama siku za uharibifu ziwe zimekwisha
Majizo should be carefulBe careful lulu
Mbona humshauti sioo was mawingu tiviNaunga Mkono hoja umri ushakwenda majizo,aache kuishi kisela.
YereuuuuwiiiMkuu wa mkoa nae SHILAWADU, halafu msiseme ni mwanaume wa Dar, huyu ni wa Kolomije.
Punguza chuki!we mtoto wa kiume bwana!Soon utaskia Hamisa anajirudisha kwa MaJizo....kale kabinti kana uswahili swahili flani hivi...
Kama 20 hivi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Majizo kamwacha Lulu miaka mingapi?! [emoji15]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanaume wa kolomije waliohamia dar (WAKODA)Mkuu wa mkoa nae SHILAWADU, halafu msiseme ni mwanaume wa Dar, huyu ni wa Kolomije.
[emoji23] [emoji23]vikao vinafanyika wapi nije daslamu na mimii