Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
alininyima K wakati tupo form 2 teh teh teh wala simchukii aseePunguza chuki!we mtoto wa kiume bwana!
Mbona hamisa alishamuacha majizzo na akakubali matokeo!ila yule ni mzazi mwenziwe!
Punguza chuki kaka angu!na msamehe kama alikukosea pia!
😀😀😀😀😀😀 daah kweli Bongo sio bahati mbaya...Kuolewa ni bahati ingekuwa chura ndiyo kigezo hata inzi ana chura
Msamehe bure kwa kweli sio riziki yako!alinin
alininyima K wakati tupo form 2 teh teh teh wala simchukii asee
Lamli chonganishi hiiSo sorry kwa mdogo wangu Lulu na anaweza hata kuwa mwanangu.. Hii ndoa inaweza kuingia mushkeli siku ama dakika za mwisho labda tu kama siku za uharibifu ziwe zimekwisha
KWANI ANAISHI WAPIMkuu wa mkoa nae SHILAWADU, halafu msiseme ni mwanaume wa Dar, huyu ni wa Kolomije.
Sijamdhihaki mtu mimiUkiitwa na Sirro kutoa maelezo nitafute twende wote...
SIOO wa Mawingu Joe ana mke na watoto labda Yahya ndio Chapailale.......Mbona humshauti sioo was mawingu tivi
hahaa..huyo Jamaa mbea sana" "Mkuu wa mkoa nae SHILAWADU, halafu msiseme ni mwanaume wa Dar, huyu ni wa Kolomije.
Na tofauti ya kimatamko ni ipi?? Yaana mfano naraka nimuambie mtu asiyejua kusoma palipoandikwa mungu na Mungu.Hilo ni mungu kwa maana ya kashetani kadogo..! Mungu ya ukweli inaanza na herufi kubwa.