Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Amethibitisha RC wa Dar, Paul Makonda. Sijui ni kweli au anatania?😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtazamo wako....Kwani kuna ubaya?? Ulivyolifikisha Kama hujapenda
Kipindi chake kibaya kimepitaHapo una maanisha nini mshana?
Hilo ni mungu kwa maana ya kashetani kadogo..! Mungu ya ukweli inaanza na herufi kubwa.hilo jina la Mungu kwanini mnalitumia hovyo hovyo
Mmmm!!!ukiongea najua kunajamboSo sorry kwa mdogo wangu Lulu na anaweza hata kuwa mwanangu.. Hii ndoa inaweza kuingia mushkeli siku ama dakika za mwisho labda tu kama siku za uharibifu ziwe zimekwisha
Kama ni greda bass limepita katika barabara alafu halijasawazishaSo sorry kwa mdogo wangu Lulu na anaweza hata kuwa mwanangu.. Hii ndoa inaweza kuingia mushkeli siku ama dakika za mwisho labda tu kama siku za uharibifu ziwe zimekwisha
So sorry kwa mdogo wangu Lulu na anaweza hata kuwa mwanangu.. Hii ndoa inaweza kuingia mushkeli siku ama dakika za mwisho labda tu kama siku za uharibifu ziwe zimekwisha
So sorry kwa mdogo wangu Lulu na anaweza hata kuwa mwanangu.. Hii ndoa inaweza kuingia mushkeli siku ama dakika za mwisho labda tu kama siku za uharibifu ziwe zimekwisha