pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Hivi huyu Majizo anaweza kuwa na umri gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitaache lazima nikupitie daslamu naogopa kupotea na mwendo kasi usisahau kunionyeshaunipitie twende wote
Kama Ruge...Hivi huyu Majizo anaweza kuwa na umri gani
Kama miaka 38 hivi!Hivi huyu Majizo anaweza kuwa na umri gani
Dogo nasbuHamisa ataolewa na nani?!
Nimekomaaa kucomment kwenye sredi zakoooo nitoe tag.
Fund redio kariakoooMajizo ndio nani?
Huu mwimbo unanikosha sanaa
HahahaHuu mwimbo unanikosha sanaa
Basi tu vionjo na demu mmoja alinitosa mtaani akaenda kwa mwana mmoja kitaaniHahaha
Kwa nn bro
HahahahaBasi tu vionjo na demu mmoja alinitosa mtaani akaenda kwa mwana mmoja kitaani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Nilijua.lazima ukuhusu
Huu wimbo hata Ruge wa Clouds una mhusu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona umetaja miaka ya Wema, umeulizwa ya MajizoKama miaka 38 hivi!