Nasikia maumivu makali sana Yanga tumeshuka kiwango

Nasikia maumivu makali sana Yanga tumeshuka kiwango

Sikumbuki Ubora wa Yanga ulikuwa lini hasa.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
yanga hata mngeshinda mngeishia robo fainali, yanga mmefikia peak ya kiwango, mna hatari ya ku drop, kocha mpya aje na vision mpya na maboresho ya nguvu, ila kwa kikosi hichi hamuwez vuka hapo, hata ligi hamchukui. jipangen na dirisha dogo
Ikumbuke hii post yangu. Kwa ligi kuu hakuna timu ya kuizuia Yanga. Hii mechi ya leo na MC Algier isikupumbaze.
 
Tp mazembe ilikuwa ni maiti inayotembea
Nalijua hilo mkuu ila mimi nimemnukuu tu mchambuzi maandazi wa jf Labani og aliyetamba kwamba Uto baada ya kuipiga Mazembe sasa imesimama na itachukua ubingwa wa CAFCL.

Ni kweli kabisa Mazembe ni maiti inayotembea japo leo imefufuka kwa muda na kumpiga ibenge 🤣🤣
 
Yani timu yetu bado haijakaa sawa hakukuwa na ubunifu eneo la mbele timu hata ingecheza dakika 200 bado tusingefunga.

Yanga tunapotezaje nyumbani mbona mnatupa maradhi jamani yani tunashindwa kupata goli hata moja
kwani tuelewe lipi, sio kwamba gari limewaka
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Yani timu yetu bado haijakaa sawa hakukuwa na ubunifu eneo la mbele timu hata ingecheza dakika 200 bado tusingefunga.

Yanga tunapotezaje nyumbani mbona mnatupa maradhi jamani yani tunashindwa kupata goli hata moja wachezaji imefikia wanacheza mpira uishe
Hebu jaribu kunywa panadol inaweza kusaidia😂
 
Kama kipa wa MC Alger alikua nyota wa mchezo maana yake Diffence ya MC Alger ilisha shindwa kuhimili vishindo na kipa wao Alikua na Siku nzuri kazini.
 
Mimi ni yanga ila kilichoniumiza zaidi ni kukosa kunywa supu baada ya kutolewa makundi.
 
Back
Top Bottom