Nasikia maumivu makali sana Yanga tumeshuka kiwango

Hakuna cha chama, dube Aucho, wala pacome, Tumeikosa bn 2.3 kiboya sana.
Sasa tufukuze huyo boya, kocha Said Ramovic , hakuna kocha humo!
 
Mkiambiwa ukweli mpo tyari kuupokea?
 
Yanga tungefuzu leo robo tungepangiwa esperence, orlando ama mamelodi.

Hao ndio walioongoza makundi yao

Kati ya hao watatu ni nani tungemfunga robo ?
 
Morali ni ndogo, dk 7 zilipoongezwa ilipofika dk ya 5 wachezaji wa Yanga wakakata tamaa kabisa wanasubiri filimbi mpira uishe
 
Azizi Kii aliipambania timu utafikiri ni ya baba yake!! waliobaki wote walikuwa tia maji tia maji!!!
 
Acha basi
 
Your browser is not able to display this video.
 
Yanga tungefuzu leo robo tungepangiwa esperence, orlando ama mamelodi.

Hao ndio walioongoza makundi yao

Kati ya hao watatu ni nani tungemfunga robo ?
Hao Orlando ni hatari, nimewaona jana wakimpelekea moto Al Ahl kwao
 
Kamdomo, mara wananchi mara wa kimataifa. Kamdomo
 
Ndio mpira ulivyo ndugu ila haya yaliyotokea yawe SoMo kwa injinia na wenzake matatizo waliyoshindwa kuelewana na wenzake tangu mwanzo na kusituka dakika za mwisho ndiyo imepelekea hali hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…