Tetesi: Nasikia mgombea mwenza anapigiwa chapuo kisa mzalendo ndio maana Bunge halijavunjwa!!

Kile Kiti ni kama kina Gundi fulani shida ni wapambe mlengwa anaweza kutamani akae zake pembeni shida ni wapambe tu!! kwani nani alitegemea afanye Mchakato wa haraka ivo ili form iwe moja tu?
 
Raisi wa nchi n mkuu kuliko yeyote yule ndani ya nchi anamamlaka kubwa mno ko uu n upuuzi kama upuuzi mwingne she is in power akitaka anatawala anavotaka tukubaliane na ukwel kuwa yeye ndo raisi full stop.....[ tetesi zenu ni upuuzi]
 
Hasta Mimi najua hivyo!kwani hizi tetesi ni za kweli!!?
 
Hakuna kitu kama hicho. Kitendo chaa yeye kuwa wa pili baada ya wa kwanza tayari hao watu walihusika kumuweka kwenye hiyo nafasi. Mnataka kumkosanisha Mwanalizombe na watu wa mfumo kwa mara ya pili.
 
🚮🚮🚮
 
Mbona Hakutambulishwa
Alitambulishwa Kama KM na hapo hapo Speaker alimtambulisha Kama Running Mate wa Samia uchaguzi Ujao

Mzalendo Ni Nimeongoni mwa watu walioshangiliwa sana sana mjengoni juzi
Nimewaza Wabunge wamefanya ivo kwasababu wanajua nguvu yake kwenye Kupitisha Wagombea mana ndio KM na ndio atakuwa Mkataji mkuu wa wagombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…