Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Hivi hapo ni kijitonyama au sinza mori?Nipo Maeneo ya Kijitonyama Karibu na Baa ya Irene Uwoya kuna Milio kama ya Risasi inatokea maeneo ya Mabatini au Africa Sanaa. Kulikoni
Ndio... Bongo Muvi wengi pia... Kwa wale wanaopenda kina James Delicious wapo kwa wingi.Hiyo bar ya Irene uwoya kina totoz?
Huyo irene uwoya mwenye yupo hapo!!!Nipo Maeneo ya Kijitonyama Karibu na Baa ya Irene Uwoya kuna Milio kama ya Risasi inatokea maeneo ya Mabatini au Africa Sanaa. Kulikoni
Totoz wanaojiuza wapo? Maana nipo ambiance mida hii,Kama vipi nikaribie hapoNdio... Bongo Muvi wengi pia... Kwa wale wanaopenda kina James Delicious wapo kwa wingi.
Mpaka wa Sinza na Kijitonyama upande wa pili ni Wilaya ya Ubungo na Baa ya Uwoya ilipo,La Chaaz,Soccer City ni Kinondoni. Meeda ipo UbungoHivi hapo ni kijitonyama au sinza mori?
Hivi ambiance ni sinza mori?Hivi hapo ni kijitonyama au sinza mori?
Yes mara nyingi huwa yuko hapoHuyo irene uwoya mwenye yupo hapo!!!
Wapo wa kumwagaHiyo bar ya Irene uwoya kina totoz?
Haaaahaaa..we jamaaau kuna mtu kaachia shuzi karibu yako...
Afrika SanaaHivi ambiance ni sinza mori?
AfrikasanaHivi ambiance ni sinza mori?