Nasikia Milio ya Milipuko maeneo ya Africa Sanaa Sinza.

Nasikia Milio ya Milipuko maeneo ya Africa Sanaa Sinza.

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Nipo Maeneo ya Kijitonyama Karibu na Baa ya Irene Uwoya kuna Milio kama ya Risasi inatokea maeneo ya Mabatini au Africa Sanaa. Kulikoni

Leo imerejea
Tar.16.08 kuanzia Saa 3 mpaka sasa
kumbe ni Lijamaa linaliza mafla ya Gari Shuwaini
 
Back
Top Bottom