Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Nipo Maeneo ya Kijitonyama Karibu na Baa ya Irene Uwoya kuna Milio kama ya Risasi inatokea maeneo ya Mabatini au Africa Sanaa. Kulikoni
Leo imerejea
Tar.16.08 kuanzia Saa 3 mpaka sasa
kumbe ni Lijamaa linaliza mafla ya Gari Shuwaini
Leo imerejea
Tar.16.08 kuanzia Saa 3 mpaka sasa
kumbe ni Lijamaa linaliza mafla ya Gari Shuwaini