Mimi nasikia mkΓΉu wa hayo mageshi ndio ameshika usukani wa kuendesha hili gariHivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!!
Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye kwenye ujenzi wa Taifa hilo.
Hii kitu ingetokea huko nyumbani Tanzania watu wangepiga kelele sana, Watanzania mjifunze kwa wenzetu huku!
Nisalimieni sana huko nyimbani, naskia Manara kahamia Yanga[emoji23]
Hizo sheria za Venezuela zina apply hapo Tanzania ?It's legal. Sheria zinaruhusu kubakishwa jeshini pindi upitapo umri wa kustaafu.
Kasema majobless wana kidomo domo sanaKwani Huyo Mkuu mwenyewe anasemaje[emoji848]
Venezuela ni kiboko hebu waza wananchi hawana haki na Nchi Yao!!!..imefikia Hadi huko Bungeni jamaa kaamua kupeleka Marafiki zake!!.. Venezuela ni Nchi nyingine yenye vituko Eti Vijana wa huko wao wanashangilia kila kitu hawajui zuri wala baya wao vigelegele tu!!..Eti nasikia huko mpangaji ndio analipa Kodi ya Jengo!!..Tena nasikia huko watoto wa Darasa la Saba huwa wanafaulu wote na baadhi hawajui kuandika wala kusoma!!Venezuela ni Shiiida....Yaani Watu wake hawajielewi Kabisa..! Fikiria Mwenyewe inawezekana Vipi We Chairman anang'ang'ana na Kiti Mwaka wa ishirini lakini Watu wake Wamebung'aaa macho tu ...!
Sasa ni nini hasa maana ya kustaafu?? Kwa nini tunaweka sheria kwamba watu wakifikisha miaka 60 wastaafu?? Au ni nchi imekosa kabisa mwenye sifa za kuchukua nafasi yake??It's legal. Sheria zinaruhusu kubakishwa jeshini pindi upitapo umri wa kustaafu.
Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!!
Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye kwenye ujenzi wa Taifa hilo.
Hii kitu ingetokea huko nyumbani Tanzania watu wangepiga kelele sana, Watanzania mjifunze kwa wenzetu huku!
Nisalimieni sana huko nyimbani, naskia Manara kahamia Yangaπ
Rais wenu mwanaume au mwanamke?Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!!
Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye kwenye ujenzi wa Taifa hilo.
Hii kitu ingetokea huko nyumbani Tanzania watu wangepiga kelele sana, Watanzania mjifunze kwa wenzetu huku!
Nisalimieni sana huko nyimbani, naskia Manara kahamia Yanga[emoji23]
Akikujibu nishtue nije na Mo chungwaRais wenu mwanaume au mwanamke?