Nasikia Mkuu wa Majeshi huku Venezuela ameshapita umri wa kustaafu lakini bado yupo ofisini

Venezuela Kuna wapiga vuvuzela hodari Sana,nasikia hata wabunge wao hua wanaingia nayo Bungeni spika wao akiongea upupu wanayapulizaa vuuuuuuuuuu
Juzi mweshimiwa spika wa Venezuela aliutangazia umma kwamba alienda Uyahudi kuzuru
Akasikia taarifa kumbe Yesu alikua na mke ila Vatican na papa John's walituficha tusijue
Aaaaaah Venezuela Kuna vitukoooo!

Mwanzo nilijua bunge letu la mweshimiwa Job Ndugai Lina vituko kumbe Venezuela ndio kiboko ya yote!

Nadanganya wadau?
 
Sasa ni nini hasa maana ya kustaafu?? Kwa nini tunaweka sheria kwamba watu wakifikisha miaka 60 wastaafu?? Au ni nchi imekosa kabisa mwenye sifa za kuchukua nafasi yake??
Sasa kwa akili yako ndogo ya kibaamedi utaelewa kweli!!?
 
Venezuela Kuna wapiga vuvuzela hodari Sana,nasikia hata wabunge wao hua wanaingia nayo Bungeni spika wao akiongea upupu wanayapulizaa vuuuuuuuuuu
Juzi mweshimiwa spika wa Venezuela aliutangazia umma kwamba alienda Uyahudi kuzuru
Akasikia taarifa kumbe Yesu alikua na mke ila Vatican na papa John's walituficha tusijue
Aaaaaah Venezuela Kuna vitukoooo!

Mwanzo nilijua bunge letu la mweshimiwa Job Ndugai Lina vituko kumbe Venezuela ndio kiboko ya yote!

Nadanganya wadau?
Hahah😂😂😂
 
Kufika umri wakustaafu doesn't mean ndo ustaafu. Anyway ndo anaeaminika kwa mda huu aluetakiwa kufuata naona kachagua upande tayari so let's see
 
Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!!

Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye kwenye ujenzi wa Taifa hilo.

Hii kitu ingetokea huko nyumbani Tanzania watu wangepiga kelele sana, Watanzania mjifunze kwa wenzetu huku!

Nisalimieni sana huko nyimbani, naskia Manara kahamia Yanga😂
Tunae mpaka 2025 kwa hiyo vumilia tuu mkuu
 
Raaisi mpya wa Venezuenga
 
Kuna mahala niliona usukani umekamatwa na mikono minne, isije kuwa ndo huko huko venezuela....
 
Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!!

Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye kwenye ujenzi wa Taifa hilo.

Hii kitu ingetokea huko nyumbani Tanzania watu wangepiga kelele sana, Watanzania mjifunze kwa wenzetu huku!

Nisalimieni sana huko nyimbani, naskia Manara kahamia Yanga[emoji23]
Wanamsubilisha amalizane na yle wakili msomi ndipo wamnyofoe
 
Back
Top Bottom