Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Sasa kwa akili yako ndogo ya kibaamedi utaelewa kweli!!?Sasa ni nini hasa maana ya kustaafu?? Kwa nini tunaweka sheria kwamba watu wakifikisha miaka 60 wastaafu?? Au ni nchi imekosa kabisa mwenye sifa za kuchukua nafasi yake??
Hahah😂😂😂Venezuela Kuna wapiga vuvuzela hodari Sana,nasikia hata wabunge wao hua wanaingia nayo Bungeni spika wao akiongea upupu wanayapulizaa vuuuuuuuuuu
Juzi mweshimiwa spika wa Venezuela aliutangazia umma kwamba alienda Uyahudi kuzuru
Akasikia taarifa kumbe Yesu alikua na mke ila Vatican na papa John's walituficha tusijue
Aaaaaah Venezuela Kuna vitukoooo!
Mwanzo nilijua bunge letu la mweshimiwa Job Ndugai Lina vituko kumbe Venezuela ndio kiboko ya yote!
Nadanganya wadau?
hadi aibuJamii forum inaharibiwa na watoto kama awa
Tunae mpaka 2025 kwa hiyo vumilia tuu mkuuHivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!!
Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye kwenye ujenzi wa Taifa hilo.
Hii kitu ingetokea huko nyumbani Tanzania watu wangepiga kelele sana, Watanzania mjifunze kwa wenzetu huku!
Nisalimieni sana huko nyimbani, naskia Manara kahamia Yanga😂
Raaisi mpya wa VenezuengaHivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!!
Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye kwenye ujenzi wa Taifa hilo.
Hii kitu ingetokea huko nyumbani Tanzania watu wangepiga kelele sana, Watanzania mjifunze kwa wenzetu huku!
Nisalimieni sana huko nyimbani, naskia Manara kahamia Yanga😂
Wanamsubilisha amalizane na yle wakili msomi ndipo wamnyofoeHivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!!
Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye kwenye ujenzi wa Taifa hilo.
Hii kitu ingetokea huko nyumbani Tanzania watu wangepiga kelele sana, Watanzania mjifunze kwa wenzetu huku!
Nisalimieni sana huko nyimbani, naskia Manara kahamia Yanga[emoji23]
Venezuela ni Shiiida....Yaani Watu wake hawajielewi Kabisa..! Fikiria Mwenyewe inawezekana Vipi We Chairman anang'ang'ana na Kiti Mwaka wa ishirini lakini Watu wake Wamebung'aaa macho tu ...!