Nasikia nguvu kubwa sasa imeelekezwa kuangusha Mbuyu namba nne kwanza.

Now and then

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
613
Reaction score
1,729
Sioni Kama tutaendelea kuwa na mbuyu namba nne.

Ebu tuone .
 
Ni mbuyu mzito kwelikweli sidhani kama mtauweza kwa miezi hii iliyosalia!
 
Kirusi cha taifa hicho, wenye nia na nguvu mtuondolee kirusi hicho.
 
Mtoto wa mjini yule watamuweza kweli?
Labda aache mambo ya hovyo ya kumpa kiburi chura kizimkazi...

Bila hivyo anakwenda na maji..
Chura kizimkazi atamwaga machozi na kuchanganyikiwa zaidi likitokea
 
Born in town for life!! Bado yupo sana. Kuto katia kete zake. Sio mpya.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Sioni Kama tutaendelea kuwa na mbuyu namba nne.

Ebu tuone .

Yule jamaa wa bendera nusu mlingoti wakati uleee wa namba 5, hivi karibuni alisema ijapo awamu ijayo ama namba 4 au 6 mmojawapo hatakuwepo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…