Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh wakipata silaha ndo bas tena , serikali imelala sana ila wanajulikana vzr tu km ukiingia mtaaniKitunda nasikia wako maeneo ya Relini kibao,nasikia maduka yote yamefungwa
Hiki kikundi kuna kitu nyuma yao
Huko kitunda wamejaa ndugu zako , nguvu zao wamehamishia kwenye baiskeli za kubebea mayaiWanaume wa dar mmekua wapumbavu sana
Yani hivyo vitoto vinawatia hofu!!!
Wanaume wa dar mmelegea sana, ata kama ni usasa huu umepitiliza
Disgrace to manhood
Waje huku Mara waone show zake
Kitunda nasikia wako maeneo ya Relini kibao,nasikia maduka yote yamefungwa
Hiki kikundi kuna kitu nyuma yao
wale hawakai sehemu moja , ukitaka kuamini wapo , nenda hapo kituo cha afya cha Yombo vituka ( malawi) ulizia sikukuu ya xmas walipokea wahanga wangap wa hao jamaaNahisi watu wanazusha. Nipo yombo napo kumevuma panya rodi wapo yombo mwisho wa lami na buza na maduka yamefungwa. Ila baada ya muda nimepita hapo mwisho wa lami naona maduka yako wazi hakuna chochote
huwa wanapita huku wanakwapuaNahisi watu wanazusha. Nipo yombo napo kumevuma panya rodi wapo yombo mwisho wa lami na buza na maduka yamefungwa. Ila baada ya muda nimepita hapo mwisho wa lami naona maduka yako wazi hakuna chochote