Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvumi tuNahisi watu wanazusha. Nipo yombo napo kumevuma panya rodi wapo yombo mwisho wa lami na buza na maduka yamefungwa. Ila baada ya muda nimepita hapo mwisho wa lami naona maduka yako wazi hakuna chochote
Kulikuwa na tarifa kwamba walikuwa kitunda naona wanapiga show kama kawaida na IGP anaendelea kutoa mimacho tu.Maduka yote yamefungwa, watu wako ndani!
Mwenye updates zaidi...
Nchi gani hiyo? Mimi nimesikia wako Somalia, ndege zote hazitui.Maduka yote yamefungwa, watu wako ndani!
Mwenye updates zaidi...
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona sisi kwenye magari hatukutani nao
Naomba kujua ,hivi siasa inaingiaje hapa,hivi Kuna watu wanaweza kukaa ,wakawatuma vijana hao wadogo kiumri,kuna mkono wa wanasiasa , ingekuwa nje , raia wangeandamana kuishinikiza serikali kutilia mkazo maana serikali kama imelala hv
Yupo Uganda huko saizi,Kuna wahuni wanamsukumia huko na kumwandalia Safari za Mara kwa Mara ili wapige helaKuna Jambo kubwa mno kuifanyia nchi uisitawalike. Mh. Rais sijui kwa nini hafunguki ubongo kwenye hili. Mkuu wa polisi ameshindwa kabisa. Yaani Makachero wamefeli vibaya. Yaani Usalama wa nchi na Raia uko hatarini. Mambo ya ndani ya nchi na Usalama mko wapi? Kuna hujuma?
Ndio matokeo ya kuvaa mlegezo, hivi mtu anayevaa mlegezo anaweza kukimbiza mwizi? Hata kumkata mtama hawezi.Wanaume wa dar mmekua wapumbavu sana
Yani hivyo vitoto vinawatia hofu!!!
Wanaume wa dar mmelegea sana, ata kama ni usasa huu umepitiliza
Disgrace to manhood
Waje huku Mara waone show zake
Siri ni zero kabisa, huwezi jua kama nchi ina IGPKuna Jambo kubwa mno kuifanyia nchi uisitawalike. Mh. Rais sijui kwa nini hafunguki ubongo kwenye hili. Mkuu wa polisi ameshindwa kabisa. Yaani Makachero wamefeli vibaya. Yaani Usalama wa nchi na Raia uko hatarini. Mambo ya ndani ya nchi na Usalama mko wapi? Kuna hujuma?
Kitunda ni TARIME ndogo,mmejaa kibao kule mnalima matembele!!Wanaume wa dar mmekua wapumbavu sana
Yani hivyo vitoto vinawatia hofu!!!
Wanaume wa dar mmelegea sana, ata kama ni usasa huu umepitiliza
Disgrace to manhood
Waje huku Mara waone show zake
Duh tangu Xmas?wale hawakai sehemu moja , ukitaka kuamini wapo , nenda hapo kituo cha afya cha Yombo vituka ( malawi) ulizia sikukuu ya xmas walipokea wahanga wangap wa hao jamaa
Brevis na wese 3,150 kazi ipo[emoji23][emoji23][emoji23]
Upo zako ndani unakula AC tu mkuu
Ngoja na Mimi nikafufue Brevis yangu
Vilevile tu, labda tusubiri watoa mada watakuwajeMmh! Mbona kama JF kabisa?
Inatafutwa justification ....aijipii...auone mlango. Panya road haikutamkwa Bahati mbaya wakati fulani!Kuna Jambo kubwa mno kuifanyia nchi uisitawalike. Mh. Rais sijui kwa nini hafunguki ubongo kwenye hili. Mkuu wa polisi ameshindwa kabisa. Yaani Makachero wamefeli vibaya. Yaani Usalama wa nchi na Raia uko hatarini. Mambo ya ndani ya nchi na Usalama mko wapi? Kuna hujuma?