Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusipende kuwalaumu police kila siku dada wakati na sisi ni wafugaji wa hao panya road wengine tunawachagua kabisa wako bungemi wanapiga mabilion...Mungu atusaidie jamani haya mambo naogopa mimi!
Hivi polisi wetu ndio wameshindwa kabisa kudhibiti hivyo vitoto? Ukitokea ugaidi si tumekwisha?
Huku mzambarauniMtaaa gani
Tumlipie nauli arudishwe apambane nao hawa si wanajisifiaga wanakula ugali asubuhi sasa anakimbia vipi panya road?Si huwa mnasema wanaume wa mikoani hamuogopi panya road!!?.
Huyo popoma aanze kazi kama naniSerikali imelala. Makonda anze kazi.