Hivi si tulishakubaliana kwamba watu wa mkoani wanaweza kukabiliana na Panya Road? Huyu msukuma wa mwanza wamemuonjesha kidogo anakimbia jiji mwambie arudi wanaume hatukimbii mji kisa nyoka amevamia nyumba yako. Ndio mjue inavyokuwa kuishi kwenye jiji hapa sio kwenye vibatari unafahamika na kila myu. The city knows nobody .. gawiza ngosha😀😀😀😂