Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kipao mbele ni kipi kwa sasa?
Kama kuna awamu ambayo watanzania tutarudi nyuma sana basi hii itaongoza...
Labda utarudi nyuma peke yako na makamanda wenzio.Kama kuna awamu ambayo watanzania tutarudi nyuma sana basi hii itaongoza...
Swali kama umepigwa stop macontractor si watalipwa pesa nyingi??
Je hiyo ghara anaigharamia nani??kama ni serikali hiyo sipesa ya walipa kodi??je nani wakuwajibika??
Swali kama umepigwa stop macontractor si watalipwa pesa nyingi??
Je hiyo ghara anaigharamia nani??kama ni serikali hiyo sipesa ya walipa kodi??je nani wakuwajibika??
Mradi husika ni mkubwa sana,majengo yaliyoanza tayari kujengwa kwenye viwanja 711 yatamaliziwa, 10*18storey,na 2*16storeySwali kama umepigwa stop macontractor si watalipwa pesa nyingi??
Je hiyo ghara anaigharamia nani??kama ni serikali hiyo sipesa ya walipa kodi??je nani wakuwajibika??