Tetesi: Nasikia ule mradi wa kawe wa NHC umepigwa stop!!

Tetesi: Nasikia ule mradi wa kawe wa NHC umepigwa stop!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Swali kama umepigwa stop macontractor si watalipwa pesa nyingi??
Je hiyo ghara anaigharamia nani??kama ni serikali hiyo sipesa ya walipa kodi??je nani wakuwajibika??
 
Kama kuna awamu ambayo watanzania tutarudi nyuma sana basi hii itaongoza...
 
Itakuwa hasara kubwa.....bora mradi uendelee

Ova
 
Yap kuna tetesi hizo..but ngoja tuone mana hata ile safari city ya Chuga ipo under hot supu
 
Hii nchi imeliwa kweli, kuna jambo hapo si bure.......
 
miradi mingi tu imezuiwa

na hapo ina maana CEO anaingiliwa madaraka na wanasiasa
na shirika likienda chini watamtupia lawama
 
Tunahamishia nguvu Idodomiya ebu tupisheni kila kitu Dar kwanini mikoa mingine ipo Rwanda.
 
Tusijipe majibu ambayo hayana uhakika,mwenye namba ya mchechu ampigie aje na marejesho.
 
Swali kama umepigwa stop macontractor si watalipwa pesa nyingi??
Je hiyo ghara anaigharamia nani??kama ni serikali hiyo sipesa ya walipa kodi??je nani wakuwajibika??

Bila kufahamu sababu za kusimamishwa kama umesimamishwa kweli huwezi kuulaumu uamuzi huo. It is simple logic,
 
Swali kama umepigwa stop macontractor si watalipwa pesa nyingi??
Je hiyo ghara anaigharamia nani??kama ni serikali hiyo sipesa ya walipa kodi??je nani wakuwajibika??

Hureee kama ni kweli nimefurahi sana, mimi ni mdau wa open space, lile eneno nilipenda libakie vile vile wazi ili mji upumue na Serikali ipaboreshe na kujenga Bustani kubwa na nzuri ya kupumzikia ambayo itafika mpaka Baharini!
 
...kwani NHC inaongozwa na mwanasiasa??ivi kwanini wanasiasa wanaingilia mambo yasiyo wahusu?..au imewekwa chini ya ofisi ya mkuu??
 
Swali kama umepigwa stop macontractor si watalipwa pesa nyingi??
Je hiyo ghara anaigharamia nani??kama ni serikali hiyo sipesa ya walipa kodi??je nani wakuwajibika??
Mradi husika ni mkubwa sana,majengo yaliyoanza tayari kujengwa kwenye viwanja 711 yatamaliziwa, 10*18storey,na 2*16storey
 
Back
Top Bottom