Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Hawa watu wametoa sadaka,kwa uchache,mara kumi.
Nadhani ipo live television pale,sasa, watu kwa ajili ya ushamba wao, nadhani wanataka kuonekana kwenye tv.
 
Watu tupo Ghaza saa hizi, wewe upo kwenye mtu anatishia kujiuwa.

Punguwani huyo kama wewe.
Majini wenzako ndiyo wanawashawishi vijana wetu na kuwaingia vichwani kama walivyomuingia Mohammed na kuwashawishi wajiue ili waje kuungana nawe huko Gaza kwenye maandaki ya moto yasiyo na hewa.
 
Majini wenzako ndiyo wanawashawishi vijana wetu na kuwaingia vichwani kama walivyomuingia Mohammed na kuwashawishi wajiue ili waje kuungana nawe huko Gaza kwenye maandaki ya moto yasiyo na hewa.
Majinni raha sana, hguelewi tu:

 
Sio mtu yeyote anaweza kufikiri ama hata kujiua!

Ni baadhi ya Watu..... Na ukweli Usemwe...

Wale wanaofikiri ama hata Waliojiua ni DHAIFU....! Hawana Moyo wa Kustahimili!

Labda Mungu tu ndo anaweza kuwaokoa... Wakimwendea...!!
 
Sauti inakuja kichwani jiue....!!!

Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue.

Maisha yakibana jiue.....
Matarajio yakifutika jiue....
Makwazo yakitokea jiue...

NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI KIROHO NA KIMWILI.

Mimi nawakilisha vijana wengi ambao kutokana na changamoto za maisha na matokeo yake, tunasumbuliwa na sauti za ushawishi wa kujiua.

Machoni pa watu tupo very smart na hali zetu za kiuchumi sio mbaya. Ila rohoni tuna mizigo ya maumivu na hatuwezi kuonyesha in public sababu jamii haituruhusu vijana wa kiume kuonyesha changamoto zetu hadharani.

Sasa hapa ndipo sauti za kujiua zinapoanza kutuandama. Mimi ni muwazi nimesema ila vijana wengi hawasemi wanaishia kujiua.

Na ndio maana siku hizi kuna wimbi la vijana wengi kujikatisha uhai wao.
First of all, Mimi Kama psychologist ningependa unipatie basic information about yourself,umri wako, umeoa au haujaoa, biashara au kazi unayoifanya, nafasi yako kwenye familia yenu,ni mtoto wa ngapi,na ikikupendeza Elimu yako na mkoa unakoishi, ?
Ntakufungua hiyo minyororo utakuwa huru na uone thamani ya maisha.
[emoji120][emoji120] Even though you are denying yourself, Jesus still loves you [emoji120]
 
Back
Top Bottom