Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

First of all, Mimi Kama psychologist ningependa unipatie basic information about yourself,umri wako, umeoa au haujaoa, biashara au kazi unayoifanya, nafasi yako kwenye familia yenu,ni mtoto wa ngapi,na ikikupendeza Elimu yako na mkoa unakoishi, ?
Ntakufungua hiyo minyororo utakuwa huru na uone thamani ya maisha.
[emoji120][emoji120] Even though you are denying yourself, Jesus still loves you [emoji120]
Sawa mkuu nitakucheki private
 
Sauti inakuja kichwani jiue....!!!

Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue.

Maisha yakibana jiue.....
Matarajio yakifutika jiue....
Makwazo yakitokea jiue...

NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA MSINGI KIROHO NA KIMWILI.

Mimi nawakilisha vijana wengi ambao kutokana na changamoto za maisha na matokeo yake, tunasumbuliwa na sauti za ushawishi wa kujiua.

Machoni pa watu tupo very smart na hali zetu za kiuchumi sio mbaya. Ila rohoni tuna mizigo ya maumivu na hatuwezi kuonyesha in public sababu jamii haituruhusu vijana wa kiume kuonyesha changamoto zetu hadharani.

Sasa hapa ndipo sauti za kujiua zinapoanza kutuandama. Mimi ni muwazi nimesema ila vijana wengi hawasemi wanaishia kujiua.

Na ndio maana siku hizi kuna wimbi la vijana wengi kujikatisha uhai wao.

sema PAKA ameanza kukufuatilia unaona bora ujimalize
 
wanasema,furaha kubwa ni kuona mambo yako yanafanikiwa au umetimiza ndoto zako,lakini furaha kubwa na ya kudumu ni kuona kuna mtu au watu wana tumaini nawewe au wanafurahia uwepo wako.

ndugu,kuna watu wana watoto wa kuwazaa/au wa kulea tu,wanawatumia katika kanuni hizo hapo juu.
ukiwekeza kwa watoto wadogo wakafurahia jasho lako,kuna.nguvu fulani ya kuendelea unaipata.
jaribu hiyo hata kwa watoto yatima.

achana na kuvuja jasho kuridhisha watu wazima ambao usafi umeshawatoka,wamejaa wivu na roho za kutokuridhika.
jitengenezee thamani kwa watu wanaojua thamani.
 
Back
Top Bottom