Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Sawa mkuu nitakucheki private
 

sema PAKA ameanza kukufuatilia unaona bora ujimalize
 
Sauti inakuja kichwani jiue....!!!
Bado haujajiua nikusogezee Dawa ya kuulia wadudu utangulie kule ukatuwahie maeneo ya mashamba tunakuja kujenga mahekalu utuwahie viwanja huko tukifika pakiwa pamefurika tuwe na pa kufikia
 
wanasema,furaha kubwa ni kuona mambo yako yanafanikiwa au umetimiza ndoto zako,lakini furaha kubwa na ya kudumu ni kuona kuna mtu au watu wana tumaini nawewe au wanafurahia uwepo wako.

ndugu,kuna watu wana watoto wa kuwazaa/au wa kulea tu,wanawatumia katika kanuni hizo hapo juu.
ukiwekeza kwa watoto wadogo wakafurahia jasho lako,kuna.nguvu fulani ya kuendelea unaipata.
jaribu hiyo hata kwa watoto yatima.

achana na kuvuja jasho kuridhisha watu wazima ambao usafi umeshawatoka,wamejaa wivu na roho za kutokuridhika.
jitengenezee thamani kwa watu wanaojua thamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…