Nasikia utopolo kimewauma kiasi walinunua ticket na kuzichoma ili uwanja uwe na magap

Ghalib alidhamini hilo zoezi ovu la.kununua ticket .
 
Jibu ni ndioo,27 November 1993-Stella Adjamè Vs Simba.
1st leg-Simba 2-0 Stella Adjamè.
2nd leg-Stella Adjamè 3-0 Simba.
Mkuu, hii unayoizungumzia ni abiola cup.
Nimejaribu kuingia kwenye website ya CAF sijakuta mahala kua Simba iliwahi kucheza fainali ya michuano yoyote ya CAF.

Labda unisaidie link namimi niingie hapo nikajihakikishie.
 
Wajinga hao. Hawajui maana ya 'sold out' ni pamoja na hizo walizozichoma! 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…