Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Hapana hii ni ya Lipumba.Hii ni ya caf?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hii ni ya Lipumba.Hii ni ya caf?
Ghalib alidhamini hilo zoezi ovu la.kununua ticket .Sijawahi kuona watu wanaumia kiwango hiki.
Hili timu wanafanya kila wawezalo kujilinganisha na Simba na kutaka wawe juu ya Simba ila kila wakijaribu wanakwama.
Wanaumia Simba kutoa sare na hawaoni aibu kwa kuanza kumshambulia Robertinyo eti kocha mbovu.
Wana hofu kwa kuwa hawajawahi kumfunga mechi yoyote.
Endeleeni kuumia huenda mtapambana nanyi mjulikane kama tulivyoona rais wenu akijipendekeza kwa rais wa FIFA
Ni la CAF kama lilivyo hili, CC na CL. Otherwise utakuwa ni kizazi cha mashabiki walioingia kupitia siasa za ManaraUnazungumzia abiola cup bila shaka
Abiola Mashudu CupJibu ni ndioo,27 November 1993-Stella Adjamè Vs Simba.
1st leg-Simba 2-0 Stella Adjamè.
2nd leg-Stella Adjamè 3-0 Simba.
Ndio kombe lenu hilo msimu uliopita
Mkuu, hii unayoizungumzia ni abiola cup.Jibu ni ndioo,27 November 1993-Stella Adjamè Vs Simba.
1st leg-Simba 2-0 Stella Adjamè.
2nd leg-Stella Adjamè 3-0 Simba.
Wajinga hao. Hawajui maana ya 'sold out' ni pamoja na hizo walizozichoma! 😁Sijawahi kuona watu wanaumia kiwango hiki.