Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Nasikitika kwasababu ukweli ni kuwa mabadiliko kwenye hii nchi yanaweza kuletwa na kiongozi wa CCM tu kama alivyojaribu JPM kwa muda alio hudumu kama Rais.
Nje ya CCM hakuna chama chenye uwezo wala mpango wa kuchukua hii nchi, hakipo labda kama kitatokea huko mbele. Kwahiyo watanzania poleni kwa kukosa mbadala.
Najua vijana wa bavicha watakuja hapa kichwa kichwa kuporomosha matusi utadhani ilani yao inawaelekeza kuunda, kukariri na kusambaza matusi.
Nashauri wenye mioyo ya kubadili hii nchi walio ndani ya CCM wafanye Mapinduzi ya kimafia ndani ya chama ili 2025 tupate candidate atakaye anzia alipoishia JPM nasema uongo ndugu zangu?