Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Wenzio wanawaogopa Chadema mpka wamewazuia kufanya mikutano na wananchi na kuwabambikia kesi za Ugaidi hewa halafu wew Kibwetele baada ya kuvimbiwa maharage unatoa uharo mdomoni.Nasikitika kwasababu ukweli ni kuwa mabadiliko kwenye hii nchi yanaweza kuletwa na kiongozi wa CCM tu kama alivyojaribu JPM kwa muda alio hudumu kama Rais.
Nje ya CCM hakuna chama chenye uwezo wala mpango wa kuchukua hii nchi, hakipo labda kama kitatokea huko mbele. Kwahiyo watanzania poleni kwa kukosa mbadala.
Najua vijana wa bavicha watakuja hapa kichwa kichwa kuporomosha matusi utadhani ilani yao inawaelekeza kuunda, kukariri na kusambaza matusi.
Nashauri wenye mioyo ya kubadili hii nchi walio ndani ya CCM wafanye Mapinduzi ya kimafia ndani ya chama ili 2025 tupate candidate atakaye anzia alipoishia JPM nasema uongo ndugu zangu?
Ni kweli kabisa ila mkuu ila vijana wao hawajitambui.Ukisikiliza mazungumzo ya viongozi wao utawajua ni watu wa aina gani.
Mambo mengi wanayoyasema kiuhalisia hayatekelezeki.
Wanaishi kwenye ulimwengu flani hivi ambao hauna uhalisia kabisa.
Waachieni basi wafanye siasa zao kwa uhuruUkisikiliza mazungumzo ya viongozi wao utawajua ni watu wa aina gani.
Mambo mengi wanayoyasema kiuhalisia hayatekelezeki.
Wanaishi kwenye ulimwengu flani hivi ambao hauna uhalisia kabisa.
Mbona unajichanganya?Mara CCM ndiyo inaweza kuongoza nchi na kule tena JPM ndiyo aliweza.Hapo umejikita kwa mtu na si chama.Na kama ulitaka kutoa hisia zako za mahaba kwa Jiwe ungeandika kuhusu yeye kama mlivyojizoesha.Nasikitika kwasababu ukweli ni kuwa mabadiliko kwenye hii nchi yanaweza kuletwa na kiongozi wa CCM tu kama alivyojaribu JPM kwa muda alio hudumu kama Rais.
Nje ya CCM hakuna chama chenye uwezo wala mpango wa kuchukua hii nchi, hakipo labda kama kitatokea huko mbele. Kwahiyo watanzania poleni kwa kukosa mbadala.
Najua vijana wa bavicha watakuja hapa kichwa kichwa kuporomosha matusi utadhani ilani yao inawaelekeza kuunda, kukariri na kusambaza matusi.
Nashauri wenye mioyo ya kubadili hii nchi walio ndani ya CCM wafanye Mapinduzi ya kimafia ndani ya chama ili 2025 tupate candidate atakaye anzia alipoishia JPM nasema uongo ndugu zangu?
Yeye lengo lake ni kuongoza nchi tu, hilo la mafanikio ya nchi halina muhimu kwake kwani litamuondolea haki ya kuwa mwananchi mnyonge.Kwani Kuna kiongozi yeyote wa Upinzani aliyewahi kuongoza hii Nchi zaidi ya CCM?
Mbona Hali ya Umasikini ni kubwa baina ya Wananchi licha ya kuongozwa na hiyo CCM yenyewe tangu Uhuru Mwaka 1961