Nasikitika nimemuambukiza msichana ninayependa😔😔

Tafakari mwenyewe! Sex kizembe ni ujinga, hayo maneno yanatosha, sio story ndefu, Mapaka leo kuna mtu mzima anayeweza kuwa na account Jamii forum asiyejua sex zembe ni mbaya mpaka apate story ya dudu kuwasha?
 
Ushawahi umwa huu ugonjwa??
 
pitia hii form mkuu, jaza taarifa zako.... ukimaliza mpe dronedrake anajua pa kukusaidia
View attachment 2658165

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…