Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #21
Mdada mrembo kua na roho ya kichawi hata upendeziPole kwa waya uliokanyaga Anza Dozi/ARV bado mapema😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdada mrembo kua na roho ya kichawi hata upendeziPole kwa waya uliokanyaga Anza Dozi/ARV bado mapema😊
Mko salama waugwana,
Leo naandika uzi huu niki regret lakini pia natoa somo kwa vijana.
Kwakua sina mke na nimeacha kuamini katika mapenzi, ila kuna demu najikuta moyo wangu kama umenasa kwake.
Yaani nguvu niliyoitumia kumpata sijawahi tumia kwa mwanamke yeyote na hata sasa misimamo yake inanifanya nifikirie kuoa tena.
Ana masharti mengi saana ya muhimu ila kwakua sitaki ku fall kizembe ukweli ni kwamba moyo wangu umemdondokea yeye kuliko demu yangu yoyote, ila lazima nijichanganye na mademu wengine nisije umia maana hawatabiriki hawa.
basi nilishaamua kujichanganya na yeyote aliyembele yangu.... kibaya sijui kumkataa mwanamke akionesha intrest au akinitongoza.
Ufala mwingi ni kwamba hata ma X wakirudi kuomba show nawapa vile vile inafikia mahali nahisi kua kama mtumwa nnayetumika mpaka kupitiliza.
Ubaya zaidi maisha yangu yanaendeshwa na wanawake sababu ya pesa, yaan kwakua naonesha less interest kwenye mahusiano nao wao wanajilazimu kutumia pesa ili wani win na kunifanya nisiwaache moja kwa moja.
Nilishaletaga story humu ya demu wa kishua ambae nilimkuta na ma discharge ya ajabu ajabu kwakua nilipima nae ngoma basi nikawa najipigia tuu kavu kavu... kumbe alikua na ma PID mzee.
Baada ya mda nikajikuta nawashwa kiajabu ajabu katikati ya mrija wa uume kuongea na Dr. Akasema nimepata maambukizi kutoka kwa huyo demu kwa mujibu wa maelezo yangu.
Kuja kushtuka mademu zangu wote watatu wanaugonjwa huo kinachoniuma zaidi ni huyu nnaye mpenda kwa dhati jinsi anavyojipenda na kujitunźa lakini ndo ivo tena.
Hajui kama ni mm ila tumeshaenda hospital tumepima magonjwa yote ya ngono na homa ya ini tuko salama ispokua hizo fungus tunaendelea na matibabu.
May take nilidhani maambukizi ni kitu kigumu kumbe si kweli, unapima ngoma na mtu unajiaminisha kuendelea kupiga kavu kumbe mwenzako anajichanganya uko nje anakuletea wadudu ndani, nawaza je ingekua ni ngoma si nisha tia dosari maisha yake??
Lets be careful na maisha yetu na ya wenzetu, hata kama mmepima kavu sio poa kwangu naona ni kma taa ya njano imewaka nipokaribu na hatari.
Sasa natembea na mipira yangu whenever I go
Tafakuri njema.!!
Babu icho chama akina raha wala amani ni depression tupupitia hii form mkuu, jaza taarifa zako.... ukimaliza mpe dronedrake anajua pa kukusaidia
View attachment 2658165
Airport nayo wachukue tu, hatuna kazi nayo kama akili Zenyewe ndio hiziChukueni tu bandari vijana w taifa hili ndio hawa hapa.
Ushawahi umwa huu ugonjwa??Tafakari mwenyewe! Sex kizembe ni ujinga, hayo maneno yanatosha, sio story ndefu, Mapaka leo kuna mtu mzima anayeweza kuwa na account Jamii forum asiyejua sex zembe ni mbaya mpaka apate story ya dudu kuwasha?
Wewe upo nchi gani??Airportnayo wachukue tu, hatuna kazi nayo kama akili Zenyewe ndio hizi
Safi kabisa huo ndio uamuzi wenye busara sasa chakata hizo mbususu mwanawane, suala la magonjwa sie binadamu sio wakamilifu miili yetu ni dhaifuNyeto sipigi ng'oo mkono hauna milio
LesothoWewe upo nchi gani??
pitia hii form mkuu, jaza taarifa zako.... ukimaliza mpe dronedrake anajua pa kukusaidia
View attachment 2658165
Kwan kumetokea nn mkuu?Mdogo wa Bill Lugano
Ongeza hapo na sehemu anayoishi, Kata, wilaya/ Manispaa na Mkoa. Baadae muweze ku-analyze hizo data, ni maaeneo/ mikoa gani inaongoza kwa CHAPUTA.pitia hii form mkuu, jaza taarifa zako.... ukimaliza mpe dronedrake anajua pa kukusaidia
View attachment 2658165
Kapime baada ya Miezi mitatu kutoka siku uliemla mara ya mwisho, ndio utajua kama una UKIMWI au hauna.ukimwi sina na huo ugonjwa sijamuambikiza makusudi sikujua kama mwanaume anaweza ubebe kumpelekea mwanamke
Wakishamaliza Airport, wachukue na Boarder zote - ile kazi ya TRA waichukue wao. Waanze na Boarder za Namanga, Rusumo na Tunduma.Airport nayo wachukue tu, hatuna kazi nayo kama akili Zenyewe ndio hizi
vipi mama....
Mkuu hayo maeneo UKIMWI umetapakaa sana..na kuna watoto wazuri sana...Lesotho, Namibia etc ...Ni maeneo hatarishi kwa Ngoma.Lesotho
hii kazi namuachia rais wa chama dronedrake 😂 kidumu chama cha kujimenya....Ongeza hapo na sehemu anayoishi, Kata, wilaya/ Manispaa na Mkoa. Baadae muweze ku-analyze hizo data, ni maaeneo/ mikoa gani inaongoza kwa CHAPUTA.
hahahahahaOngeza hapo na sehemu anayoishi, Kata, wilaya/ Manispaa na Mkoa. Baadae muweze ku-analyze hizo data, ni maaeneo/ mikoa gani inaongoza kwa CHAPUTA.
kidumu chama, milele na milelekidumu chama cha kujimenya
Tulia mkuu, nina miezi minne huku.. sijakutana na hiki unachokisema hapaMkuu hayo maeneo UKIMWI umetapakaa sana..na kuna watoto wazuri sana...Lesotho, Namibia etc ...Ni maeneo hatarishi kwa Ngoma.