Nasikitika nimemuambukiza msichana ninayependa😔😔

Nasikitika nimemuambukiza msichana ninayependa😔😔

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,324
Reaction score
5,933
Mko salama waugwana,

Leo naandika uzi huu niki regret lakini pia natoa somo kwa vijana.

Kwakua sina mke na nimeacha kuamini katika mapenzi, ila kuna demu najikuta moyo wangu kama umenasa kwake.

Yaani nguvu niliyoitumia kumpata sijawahi tumia kwa mwanamke yeyote na hata sasa misimamo yake inanifanya nifikirie kuoa tena.

Ana masharti mengi saana ya muhimu ila kwakua sitaki ku fall kizembe ukweli ni kwamba moyo wangu umemdondokea yeye kuliko demu yangu yoyote, ila lazima nijichanganye na mademu wengine nisije umia maana hawatabiriki hawa.

Basi nilishaamua kujichanganya na yeyote aliyembele yangu.... kibaya sijui kumkataa mwanamke akionesha intrest au akinitongoza.

Ufala mwingi ni kwamba hata ma X wakirudi kuomba show nawapa vile vile inafikia mahali nahisi kua kama mtumwa nnayetumika mpaka kupitiliza.

Ubaya zaidi maisha yangu yanaendeshwa na wanawake sababu ya pesa, yaan kwakua naonesha less interest kwenye mahusiano nao wao wanajilazimu kutumia pesa ili wani win na kunifanya nisiwaache moja kwa moja.

Nilishaletaga story humu ya demu wa kishua ambae nilimkuta na ma discharge ya ajabu ajabu kwakua nilipima nae ngoma basi nikawa najipigia tuu kavu kavu... kumbe alikua na ma PID mzee.

Baada ya mda nikajikuta nawashwa kiajabu ajabu katikati ya mrija wa uume kuongea na Dr. Akasema nimepata maambukizi kutoka kwa huyo demu kwa mujibu wa maelezo yangu.

Kuja kushtuka mademu zangu wote watatu wanaugonjwa huo kinachoniuma zaidi ni huyu nnaye mpenda kwa dhati jinsi anavyojipenda na kujitunźa lakini ndo ivo tena.

Hajui kama ni mm ila tumeshaenda hospital tumepima magonjwa yote ya ngono na homa ya ini tuko salama ispokua hizo fungus tunaendelea na matibabu.

May take nilidhani maambukizi ni kitu kigumu kumbe si kweli, unapima ngoma na mtu unajiaminisha kuendelea kupiga kavu kumbe mwenzako anajichanganya uko nje anakuletea wadudu ndani, nawaza je ingekua ni ngoma si nisha tia dosari maisha yake?

Lets be careful na maisha yetu na ya wenzetu, hata kama mmepima kavu sio poa kwangu naona ni kma taa ya njano imewaka nipokaribu na hatari.

Sasa natembea na mipira yangu whenever I go

Tafakuri njema.
 
FB_IMG_16864829407212983.jpg
 
Umeshindwa kuonyesha masculinity yako kwa hao wadangaji mpaka kufikia stage ya kumuambukiza mdada wa watu gonjwa la hovyo hovyo.

Mwanaume rijali lazima sometime uwe na msimamo na maamuzi na siyo kila mdada akikutaka kupitia influence yoyote wewe unamkubalia tu, hujiulizi kwanini wao sometime wanatukataa sisi?
Anyways usipobadilika utakuja kufa vibaya sana mbwa wewe.
 
Mko salama waugwana,

Leo naandika uzi huu niki regret lakini pia natoa somo kwa vijana...
Wee jamaa ni fala sana sasa mzinzi konki toka lini akaogopa ngoma au gono?

Wee unapiga tu mwanawane si ndio starehe yako. Toka lini ukutomber na ndom ukaenjoy? Sii bora upige nyeto ya mlenda vuguvugu kama mie kama unaogopa ngoma
 
Umeshindwa kuonyesha masculinity yako kwa hao wadangaji mpaka kufikia stage ya kumuambukiza mdada wa watu gonjwa la hovyo hovyo.

Mwanaume rijali lazima sometime uwe na msimamo na maamuzi na siyo kila mdada akikutaka kupitia influence yoyote wewe unamkubalia tu, hujiulizi kwanini wao sometime wanatukataa sisi?
Anyways usipobadilika utakuja kufa vibaya sana mbwa wewe.
Mbususu haisuswi wewe bwana🤣🤣🤣🤣
 
kwani ukisema kuwa umemuambikza ukimwi utakuaje, ila umekosea kama umempa kimaksudi.
 
kwani ukisema kuwa umemuambikza ukimwi utakuaje, ila umekosea kama umempa kimaksudi.
ukimwi sina na huo ugonjwa sijamuambikiza makusudi sikujua kama mwanaume anaweza ubebe kumpelekea mwanamke
 
Wee jamaa ni fala sana sasa mzinzi konki toka lini akaogopa ngoma au gono?
Wee unapiga tuuu mwanawane sii ndio starehe yako. Toka lini ukutomber na ndom ukaenjoy? Sii bora upige nyeto ya mlenda vuguvugu kama mie kama unaogopa ngoma
Nyeto sipigi ng'oo mkono hauna milio
 
Umeshindwa kuonyesha masculinity yako kwa hao wadangaji mpaka kufikia stage ya kumuambukiza mdada wa watu gonjwa la hovyo hovyo.

Mwanaume rijali lazima sometime uwe na msimamo na maamuzi na siyo kila mdada akikutaka kupitia influence yoyote wewe unamkubalia tu, hujiulizi kwanini wao sometime wanatukataa sisi?
Anyways usipobadilika utakuja kufa vibaya sana mbwa wewe.
Oya una point ila kuniita mbwa ni umaku ujue🤬🤬🤬
 
Back
Top Bottom